Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari JF , Mpwa wangu ni Mtumishi wa serikali , katika harakati zake za maisha ,Amekopa taasisi mbili tofauti za ukopeshaji pesa kwa watumishi. Dhamana ya mkopo wake ni mshahara ambapo kwa...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nimeandika barua ya kuacha kazi, naambiwa sheria inasema natakiwa nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi mmoja kwavile sikumpa notice. Nikajitetea kuwa mkataba wangu ulishaisha toka...
5 Reactions
28 Replies
11K Views
Habarini wakuu. Naimani humu nyote ni wazima wa afya. Nilikuwa naomba msaada ya kisheria. Kuna hili suala la migogoro ya wanafamilia hasa kwenye mirathi ambayo huathiri jamii kwa namna moja ama...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
MCHANGO WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKICHANGIA KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA WA MWAKA 2023 BUNGENI DODOMA TAREHE 7 SEPTEMBA 2023.
1 Reactions
1 Replies
398 Views
Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje...
0 Reactions
3 Replies
506 Views
KESI ya kugombea mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu Betty Luzuka imeibua mapya mahakamani mara baada ya ushahidi wa njia ya video kumuonyesha mke wa aliyekuwa ofisa...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Si dhambi kumsifia mtu na kumpa pongezi na hongera kwa kazi nzuri. Website ya TANZLII ya sasa ni user friendly kuliko ya zamani. It is easy to search for whatever information you want that is...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
We are starting a new company. We are looking for a young lawyer, male or female, to be employed full time. Great salary and many benefits. He/she must be able to defend in court, to sign...
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Uhaini ni kosa la jinai . Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jirani yangu alifungua kesi kuwa nimeingia kwenye shamba na kukata miti analodai ni lake ( ambalo nililinunua toka kwa mwanae aliyerithi kutoka kwa baba yake na huyo aliyenishitaki . Mahakama...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
WAZIRI DKT. NDUMBARO - ZAIDI YA WANANCHI 250,000 WAMEFIKIWA NA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika utekelezaji wa kampeni inayolenga...
0 Reactions
1 Replies
327 Views
Ndugu nisaidieni process inavyokuwa hadi mwisho pale unapotaka utambulike kama mmiliki mpya wa kiwanja baada ya kukinunua. Kiwanja kimepimwa na kina bikon tayari.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari, Naomba ushauri kwenye jambo hili ambalo nahisi kuonewa. Nilikua mtumishi wa umma kwa miaka nane. Nimemtumikia mwajiri wangu kwa miaka nane. Mwaka jana nilipata changamoto nikawa na kesi...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Amnesty International Siyo Mahakama ya Tanzania Siku chache baada ya kukamatwa kwa Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Nyagali na Dk Wilbroad Slaa, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa...
0 Reactions
8 Replies
988 Views
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo. Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Baba yangu alikua Mtumishi wa Ualimu idara ya elimu msingi kwa miaka mingi mpaka alipostaafu rasmi utumishi serikalini 2016 baada ya kuitumikia serikali kwa miaka 37 Baada ya kustaafu ilimchukua...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom