Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ukishindwa kulipa mkopo, kuna njia nyingi za benki ku recover (kujilipa) hela yao. Mojawapo ni kuuza mali uliyoweka kama dhamana (security). Sasa ikitokea benki wameamua kuuza mali yako ili...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna sheria za mirathi aina ngapi hapa nchini? Je, wa kike anaruhisiwa kurithi ardhi sawasawa na wa kiume?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi nikiamua kuprint shirt na kutumia picha za wasanii bila idhini yao kama Jux, Jay Melody etc nitakuwa nafanya kosa? Wanaweza kunishtaki?
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Baada ya kuoana na kuzaa watoto 4 na kuishi kwenye ndoa pamoja kwa miaka 15 na kuchuma mali zetu pamoja maana wote ni watumishi na kuandika majina yetu mawili kama wamiliki. Mume anakuja kusema...
0 Reactions
46 Replies
14K Views
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau nawasabahi, Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu.Mimi sina Ufahamu MKUBWA wa Masuala ya Sheria .Ninaomba kufahamishwa juu ya Suala mzima la UTEKELEZAJI wa HUKUMU zinazotolewa na MAHAKAMA zote. Nimekuwa nafuatilia baadhi ya KESI...
1 Reactions
7 Replies
598 Views
Naombeni ushauri, kuna mfanyakazi alikuwa mtumishi wa serikali aliazimwa kutoka serikalini na kufanya kazi kwenye Chuo fulani cha Private alikuwa Mwalimu na alikuwa Mkuu wa Chuo. Baadae uchumi...
2 Reactions
5 Replies
698 Views
Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana...
4 Reactions
9 Replies
801 Views
Leo Jaji Mkuu ameapisha mawakili wapya. muda wa Jaji Mkuu kushika mamlaka hayo umeisha June 2023. Kwa mujibu wa sheria, mawakili huapishwa na Jaji Mkuu. Mawakili walioapishwa leo wameapishwa na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba kwa yeyote anayeweza kuandika muhtasari wa kikao cha familia cha kifo aje hapa anielekeze. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
13K Views
Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga...
1 Reactions
0 Replies
689 Views
Sheria inasemaje kuhusu mtumishi ambaye ni mwalimu mkuu kutembea na mke wa mtu mwalimu wanafanyakazi shule moja
1 Reactions
9 Replies
4K Views
My scenario iko hivi Tulizaliwa wawili, Baba, Mama na Mdogo wangu wote wamefariki Baada ya baba kufariki , tuliishi na mama , tulikuwa wadogo so sijui nani aliteuliwa kama msimamizi a mirathi...
9 Reactions
63 Replies
4K Views
Habarini wakuu! Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie. Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya...
1 Reactions
101 Replies
4K Views
Heshima kwenu wanasheria. Ninapanga kwenda kupima DNA first born wangu sababu kadri anavyokuwa mkubwa ndo anaonyesha kabisa si mwanangu maana hafanani na mimi wala mama yake, pia hafanani hata na...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
UTETEZI WA KIJINAI DEFENSES IN CRIMINAL CASES. Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii. Imeadaliwa na Mr. George...
8 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom