Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadao heshima yenu wakuu, naomba mnisaidie kupata mwanga juu ya swala Hilo, nmenunua kiwanja mwaka 2020 Kwa installments kwenye kampuni binafsi na nilikuwa nalipa Kashi pesa mkononi napewa risit...
S.M. Z versus Machano Khamis Ali and 17 Others; Criminal Application No 8 of 2000: Court of Appeal of Tanzania at Zanzibar (Unreported).
Criminal Law
Treason – whether or not treason can be...
Kushindwa kulipa deni hakuhalalishi ukiukaji wa haki za msingi za mkopaji. Mkopaji pamoja na kuwa ameshindwa kulipa deni kwasababu zozote zile bado analindwa na sheria katika haki alizonazo...
Wafanyakazi wafuatao wanastahili likizo ya malipo, Waliofanya kazi kwa zaidi ya miezi sita mfululizo, Wafanyakazi wa msimu, Wafanyakazi waliofanya kazi kwa kipindi tofauti kwa mwajiri mmoja katika...
Mgomo ni usimamishaji wa kazi, unaofanywa na Wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha Mwajiri wao au Mwajiri mwingine au Jumuiya ya Waajiri ambayo Mwajiri wao ni mwanachama, kukubali...
Mahakama Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoiamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki wa kizazi kipya Hamisi Mwinjuma (MwanaFA) na Ambwene Yesaya...
Katika biashara ya nyama ni kawaida waislamu ndio wamepewa jukumu la kuchinja na bila muislamu kuchinja nyama hiyo ni kama hairuhusiwi kuuzwa. Hili limeleta mtafaruku hivi majuzi kati ya muuza...
MAHAKAMA TANZANIA YASEMA HAKUNA MWANAHARAMU, ILA KUNA WAZAZI HARAMU TU.
Kuna hukumu-rejea ilitolewa tarehe 28/5/2020 na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam kupitia Mh. Jaji...
Habari wapendwa?
Tafadhali naomba ufafanuzi wenu juu ya hili
Je, nini maana ya Part time worker? Na sheria ya kazi imetafsiri vipi juu ya Part time?
Na je, Huyu Part time worker ni lazima...
Imeandikwa na Aron Seni (LLB-Mzumbe)
Sote ni mashahidi mpaka sasa kuna mvutano mkali kuhusu Bandari. vyama pinzani, wanasheria na wanaharakati wanadai huu(IGA) ni mkataba wa halali wakati huohuo...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF”...
Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi...
Habari Wakuu,
Natumaini Mnaendelea salama na majukumu ya kila siku.
Hoja yangu ni kwamba,
Inawezekana Non-resident akawa na biashara hapa nchini kisheria,
Na kama ni Kampuni wanaweza...
Wakuu Mimi binafsi ndio kwanza najitafuta na kila anayefanya kazi ana ndoto za kuwa mtu mkubwa mbeleni huko ndivyo ilivyo na kwangu.
Mimi nataka nisajili jina la biashara mbeleni kuwa hata...
Wakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani...
Habari Wana JF!
Naomba kufahamishwa ikiwa Wakili umemkabidhi fedha na hakukamilisha fedha uliyompa unawezaje kumshitaki na mahali gani unapoweza kumshitaki?
Na je ukimpa kazi mtu mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.