Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
#SheriaZetu
Kwa mujibu wa Sheria ya Daawa "Law of Torts" - Mmiliki yoyote wa jengo huwajibika kwa kushitakiwa
na kulipa fidia kwa madhara yoyote yanayoweza kuwapata watumiaji wa jengo husika...
Habari wanajukwaa.kuna deni la kiasi flan ivi cha pesa linanisumbua.nilipelekwa mahakamani.nikapangiwa kurejesha kias flani ivi kwa muda niliopangiwa sasa kila ikifika tarehe niliyopangiwa naenda...
Mahakama Kuu Kituo cha Haki Jumuishi, (Masuala ya Kifamilia) Temeke leo Alhamis ya tarehe 25 Agosti 2022 imebatilisha makubaliano ya wasimamizi wa mirathi ya marehemu Reginald Abraham Mengi na...
Msaada tutani .... ipi nafasi ya mdhamini ikiwa kesi itafikishwa mahakamani ......... yaani ikiwa mmi nime mdhamini na mlalamikaji akasema kesi iende mahakamani mimi kama mdhamini wa mtuhumiwa...
Bahati nzuri siku hizi unaweza kuingia kwenye TANZLII and other law websites za nchi zote duniani ukasoma kesi zilizoamriwa.
Kuna kesi unaona kabisa kuwa huyu Advocate ilibidi amshauri mteja kuwa...
Kwa ufupi kesi ya kaka angu yeye ni machinga, aliuziwa simu na mtu baada ya kuitumia hiyo simu kama wiki mbili alikamatwa
Kosa ile simu aliyonunua iliporwa kwa nguvu kutumia silaha na kupora vitu...
Habari za muda wana JF.
Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja.
Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani...
Baada ya kifo cha Membe familia yake inaweza kudai pesa zake alizotakiwa kulipwa na Musiba kwa kumchafua au Musiba ndio anakuwa amepona na kuchomoka katika hayo madai ya kulipa pesa za kuchafua...
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya...
MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS - FEDHA ZINATUMIKA KWA KUSIMAMIA MIONGOZO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Khamis Hamza Khamis (Mb) akiwa katika kipindi cha maswali na...
Ndugu zangu, habari ya jioni. Ninaomba ushauri wa kisheria. Mimi nakabiliwa na kesi ya (madai) ya kubumba ambayo mdai alishinda kesi na mahakama ikaamuru mdaiwa (mimi) nilipe deni ndani ya siku...
Kisheria hii imekaaje.
Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili.
Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo...
A decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate.
Tuzo ya Mahakama ktk kesi za madai (za watu...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikiskia sana kuhusu baadhi ya watu wakikamatwa na polisi na kupelekwa mahakamani kwa kosa la kutakatisha fedha.
Wengine shughuli zao za kuwaingizia pesa ni za kawaida...
Ninapokashifiwa Mimi ninaumia mm pamoja na watu wangu, mke wangu, wanangu, wazazi wangu pamoja na ndugu na jamaa zangu. Kuna wakati baadhi Yao wanatumia sana kuliko hata Mimi niliyekashifiwa na...
JF imebobea wanasheria nguli (excl Pasco anayejibu kwa hisia) katika sheria za jinai na madai.
Watuelimishe, jee kama Mahakama imetoa hukumu na order ya kukamata mali za mdaiwa ili kumlipa mdai...
Anaandika Ibrahim Mkamba
Inna lillahi wa inna lillahi raj'ughn, Bernard Camillius Membe ametutoka. Taarifa ilipopatikana tu, mara moja maswali yamekuwa mengi endapo sasa mtu aliyemdai hatalipa...
YAH: MWONGOZO (CIRCULAR) YA UTARATIBU WA UHAWILISHAJI WA ARDHI YA KIJIJI KATIKA NGAZI YA KIJIJI
Mwongozo huu unakuja kufuatana na muongozo uliotolewa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.