Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Samahani naomba msaada wa kisheria. Kama mkataba wangu umefikia kikomo cha muda niliosaini (mwaka 1) na nikaendelea kufanyakazi kwa muda wa miezi 3 pasipo kupewa (kurenew) mkataba mpya, je bado...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenye uelewa na hilo anisaidie. Mara nyingi kwenye Labour casea huwa kuna revision and not appeal. See attached case === Katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania huko Tanga, Maombi ya Kiraia Na...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Habari Wakubwa, Nipo mbagala huku, Kuna jamaa ambaye ni jirani yetu, kaamua kufungua bar nyumbani kwake. Tatizo mziki anaopiga, ni kwa sauti kubwa kuanzia saa tatu usiku mpaka kumi na mbili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu alipata kazi sehemu lakini kwenye kigezo cha umri alisema pungufu sasa kuna ukaguzi wa vyeti je inaweza kumletea shida akafukuzwa kazi kutokana na umri kua tofauti aliosema na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke...
1 Reactions
3 Replies
481 Views
Habari wakuu, Nina kesi inayohusu masuala ya ndoa. Tumefikia hatima mahalama ya mwanzo pale Stop Center Temeke. Mwenzangu kakata rufaa. Nimeambiwa na Hakimu kujibu hoja za upande wa pili wa...
0 Reactions
8 Replies
702 Views
Habari wadau Nina imani humu kuna wataalamu wa sheria za ardhi. Na pia wapo watu wenye uzoefu na mgogoro wa ardhi kama huu wa baba yangu mdogo. Mwaka 1988 baba yangu mdogo alinunua kiwanja...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Nawasalimu ! Mwaka 2013 nilimpoteza kaka yangu kwa ajali ya pikpiki. Yeye alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mimi kipindi hicho nilikuwa chuo mwaka wa Kwanza. Baada ya mazishi na msiba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Rafiki angu mmoja wazazi wake wawili wamefaliki yeye ndo mtoto wa kwanza wa kiume lakini pia ni mtoto wa kambo yani mama ake aliolewa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na baba ake mzazi mama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya...
0 Reactions
7 Replies
754 Views
Naomba nimkumbushe Jaji Mkuu Ibrahim Juma kuwa kuna hitaji kubwa la hard copies za Tanzania Law Reports. Ni kitu hakiingii akilini kuwa for decades now hakuna hivyo vitabu.
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Habari? Law sio field yangu lakini kwenye kozi yangu nasoma Business law. Kuna vitu nahitaji kuvijua vizuri/zaidi kuhusu law of contract, pia naomba atakae amua kunielewesha atoe mifano nadhani...
9 Reactions
123 Replies
5K Views
Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya kiserikali about 2 years ago. Hatujawahi kuishi pamoja ni mwendo wa mikoa tofauti. Kuna misunderstanding za hapa na pale tunasuluhishana maisha yanasonga...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hii ni hearing ya arbitration.. Kuna part zingine ziko youtube katika page yao.... Naona wanasheria wetu wanapambana....
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Wanabodi, Story ya "incest" iliyodumu kwa miaka 10 kati ya mama na mwanae huko Ruvuma, iliyoonyeshwa leo kwenye taarifa ya habari ya Star TV, its nothing but total "insanity" Kwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ikitokea mtu kakamatwa kipindi A ambapo Sheria inasema hivi halafu pakatokea mabadiliko ya Sheria ambapo labda kwa Sheria za kipindi A angekutwa na hatia na kuhukumiwa lakini hukumu ilichelewa na...
1 Reactions
5 Replies
475 Views
Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
UZINDUZI WA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameizundua rasmi kampeni ya msaada wa kisheria inayoitwa Mama Samia Legal Aid Campaign kwa mkoa wa Dodoma Alhamisi...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom