Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna mtu mimea/mazao yake imeliwa na mifugo wa jirani yake. Na Jamaa mwenye mifugo anakataa kuwa mifugo wake hawajaingia Kwenye shamba lake.
Utajengaje ushahidi kuwa kweli ni mifugo yake ndiyo...
NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI)
Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo...
Soma kesi ya REPUBLIC Vs FREEMAN AIKAEL MBOWE na wenzake watatu, Kesi ya uhujumu uchumi namba 16 of 2021.
Summary By, Zakaria Maseke
Kwenye hii kesi, prosecution walikosea, citation ya Sheria...
AMRI YA KUKAZIA HUKUMU HAIKATIWI RUFAA: KALEBU KUBOJA MJINJA Vs SHADRACK DANIEL TEMBE, CIVIL APPEAL NO. 24 OF 2020.
Hii kesi imetafsiriwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke, Advocate...
Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
Wakuu kwema
Enzi sijafunga ndoa nilizaa mtoto wa kiume na binti mmoja wa kiislam kutoka Tanga. Hatukua na mpango wa kuoana hivyo mtoto alipofikisha umri wa miaka miwili kasoro nikamchukua na...
Naomba msaada juu ya hili.
Je, mwanamke aliyeolewa Kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho.
Marehemu bibi yetu alifariki kitambo sana, na alizaa watoto wawili wa kike, ambao walikuwa ni mama zetu mkubwa na mdogo nao pia walifariki kitambo sana.
Nyumba aliyoiacha marehemu bibi yetu bado...
Kwa mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya Sheria namba 3 ya mwaka 2021, WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENT NO 3 ) ACT, 2021
Kwa mujibu wa SHERIA hii ambayo ilikifuta kifungu Cha 15 Cha THE LAND...
Nina ndungu yangu kashtakiwa mahakama ya mwanzo; kesi iko hivi.
Huyu ndugu alipelekewa simu (smart phone) na rafiki yake wa kike amsaidie kuaply kazi za Tamisemi badae sensa, amekaa na Ile simu...
Habari zenu Wana JF?
Kuna nyuzi kadhaa nilizowahi kuziandika hapa na nikapata shauri mbalimbali toka kwenu.
Mwanamke nilie zaa naye, ila tumechelewa kufunga ndoa kulingana na ukosefu wa mahari...
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine.
Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na...
Habari wana JF
Leo naomba kuongelea au kuliwekea ufafanuzi jambo moja ambalo limekuwa likielezwa vibaya au kimakosa na watu wengi wengine wakiwa ni viongozi hadi wa kiserikali.
Suala hilo ni...
Habari za leo,
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money.
Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu...
Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa...
Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake.
Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi...
1. Please mwenye Tanzania Law reports anisaidie/aniuzie kama ana hard copies. or electronic copies!
2. Mwenye kesi hii Rashid. Baranyisa vs Hussein Ally (2001) TLR 471 anisaidie mana najua kuna...
SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa...
Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka.
Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.