Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau hivi inawezekana kubadilisha jina ÑIDA na kupewa kitambulisho kipya kutumia jina la Ubatizo ?. Mfano nilikuwa naitwa KINYESI MKOJO MAVI, sasa nataka lisomeke JEKA MKOJO MAVI...
Mzee wetu kasha fariki kaacha wake wawili na watoto 8 kila mke ana watoto wanne. Mzee kaacha nyumba moja na kiwanja kimoja na shamba. Nyumba moja anaishi mke mdogo na kiwanja kimoja, mke mkubwa...
Kuna jambo naomba msaada wenu wa kisheria. Nilioa mwaka2008 ndoa ya kiislam, mwaka 2019 mke wangu aliondoka nyumbani na kuniachia watoto wa4 baada ya kutoa mimba ya hawara, kutishia kuniua na...
Mimi ni mtumishi katika mkoa mmoja hapa Tanzania, Mwezi wa 5 mwaka Jana niliomba mkopo katika benki ya CRDB, lakini wakachelewa kunipatia mkopo wakisema mwajili wangu hakuidhinisha makato,mwisho...
Benki kuu imeweka dawati la kushughulikia kesi zinazohusu mabenki na wateja wao, lkn wamesema kesi ambazo wao kama Benki Kuu wanasikiliza ni zile zisizozidi milion 15, Sasa je Kama madai yanazidi...
Watu wanazungumza mengi kuhusu katiba mpya wapo wanaosema itakuwa mkombozi na itawatoa kwenye maisha magumu.
Chonde chonde tufanye yote ila KUMPUNGUZIA mamlaka rais linaweza likawa kosa kubwa...
Ukiingia kwenye Tanzania Legal Information Institute (TANZLII) unakuta most of the Court of appeal registries, hazina hukumu za miaka ya nyuma kama 2 au mitatu au hata mmoja. What is wrong?
Ni...
Naomba msaada wa kisheria.
Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe...
WanaJF hasa wajuzi wa sheria ya ndoa nina jambo naomba kupata ufafanuzi.
Majuzi niliona cheti cha ndoa cha mme na mke waliofunga ndoa ya kikristo miaka kadhaa iliyopita.
Kwenye cheti niliona...
Moot Court Scenario for LLB-II
Ally, son of Ramadhan, and Aneth, daughter of Fredrick, are childhood friends. Two years ago, they completed their Bachelor of Laws degree together at Lawyers Only...
Wakuu heshima kwenu, naomba msaada katika suala hili.
Nilipofikisha umri wa miaka 10 niliugua sana, katika kutafuta tiba mzazi wangu akakutana na ushauri wa mimi kutumia jina jingne (nimefupisha...
Kuna nyumba ya urithi,wanafamilia wahusika wote tumekubaliana kuiuza,na tumeandika muhtasari wa kikao cha kuuza,kiasi cha pesa na mgawanyo wake wote,tumeukabidhi mahakamani.
Jambo linalotutatiza...
FAHAMU KUHUSU MAKOSA YA RUSHWA NA ADHABU ZAKE KWA MUJIBU WA SHERIA.
SEHEMU YA KWANZA (01)
Mr. George Francis
Mwalimu Nyerere katika hotuba aliyoitoa kwa waandishi wa habari mwaka 1995 alisema...
Nisaidie maelezo ya hizi sections by giving ILLUSTRATIONS
17. (1) Where a person, who would, if he were living, have a right to institute a suit or make an application, dies before the right...
Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga.
Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto...
Hello, katika mada ya leo tutajifunza maana, sifa na aina mbali mbali za makampuni (categorization of companies).
Makala hii imeandaliwa na kuletwa kwako na Zakaria Maseke - Advocate Candidate...
Nachelea kusema hivyo kwa kuona kabisa mahakamani ni wanafiki wanaposikiloza kesi za wananchi wakati huohuo wamawasimamisha watumishi wao kwa kipindi kirefu pasipo kutoa maamuzi juu ya tuhuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.