Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu humu ndani.
Mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo Dodoma kikazi. Nina nyumba yangu mkoani Iringa.
Baba alishawahi kuchukulia mkopo katika bank ya NMB. Leo wakati natoka kazini...
Kwema humu,
Nisiwachoshe nimeishi na mke wangu kwenye ndoa mpaka sasa ni miaka mitano ila kutokana na changamoto za ndoa nilikuwa nahitaji tuachane kwa amani na mke wangu pasi kugombana, kwahiyo...
Ni hivi kuna kiwanja kilikuwa cha bibi mzaa mama,kisha baada ya miaka mingi kupita akaja akamrithisha Mama yangu kabla hata sijazaliwa na baadae tena mama akanipa mimi kile kiwanja,kumbuka hapo...
Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023.
Direct kwenye point
Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2.
Baada ya malipo ya...
Habari wana Jf
Naomba kusaidiwa kisheria.
Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto...
Chanzo taarifa ya habari UTV/ TBC.
27/12/2022
Nimemsikia Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akizindua matumizi ya akili bandia katika mahakama zetu nchini.
Alieleza kuwa Matumizi ya akili...
Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata...
Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo).
Nina...
Hi guys, I urgently need help on this case John O Nyaronga V. Captain Ferdinando ponti, Anil Patel and C.T.aI transport Ltd High Court commercial case no 62 of 2009. Any one with information or...
JFs, naomba mwongozo juu ya kesi ya kugonga mtu barabarani (sio kwenye zebra). Na kesi inaenda mahakamani huku mgonjwa ameshapona kabisa.
Mwongozo tafadhali.
Rais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini...
Dhana ya mgawanyo wa madaraka inaeleza kuwa utawala wa dola unapaswa kugawanywa katika vyombo vitatu ambavyo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Kila chombo kina majukumu tofauti na chombo kingine...
Bila kupoteza mda nawasalimu nyote na pole na majukumu ya kujiingizia kipato.
Baada ya Baba yangu mzazi kupata ajali ya Gari Ghafla alikimbizwa kituo Cha Afya Kijijini kwetu na hatimaye juhudi za...
Moja kwa moja kwenye mada, itifaki imezingatiwa!
Mwaka 2018 nilinunua kiwanja maeneo ya mtaa wa mawasiliano, Mkundi -Morogoro!
Baada ya kununua na kuandikishana kupitia serikali za mitaa...
Mwalimu Omary & Another Vs Omari Bilal, Court of appeal of Tanzania @ Dar-es-salaam, Civil appeal no. 19 of 1996.
Mwenye nayo anisaiie hapa au inbox, whatever!
Kichwa cha habari cha husika.
Mwaka 2020 daladala iligonga mtu na kusababisha kifo chamwanaume mmoja.
Dereva akwekwa ndani, nyaraka zikapelekwa kam leseni ya dereva na cover note ya bima.
Dereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.