Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nilipata huduma kutoka kampuni moja inayouza Solar na vifaa vyake.
Miongoni mwa bidhaa ilikuwepo TV set . Baada ya siku mbili sikuwa nimeridhishwa na huduma za kifaa chao niliwaarifu kwa njia ya...
Wakuu habari zenu? Mmeshindaje?
Sasa Wakuu kuna shida kidogo nahitaji ushauri wenu kuna mdogo wangu alikuwa anasoma Arusha shule ya msingi sasa kule kulitokea shida kidogo akaamishwa shule...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni.
Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo...
Ndugu wanasheria salaam,
Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili,
Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa...
Sheria kwa ajili ya kuweka masharti kuhusu misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa lengo la kuweka kiwango cha chini cha matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzisha Tume ya...
Wanabodi, habari.
Ndugu yangu ni mtumishi Wa Umma. Alikuwa na kesi ya jinai ya kumtukana mtu. Kesi imeenda mahakamani na mahakama imempiga faini. AMELIPA. Mwajiri wake amepelekewa taarifa kuwa...
Ndugu zangu naomba kuuliza:
1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?
2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili?
ASANTENI SANA.
Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma.
Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi...
Vyuo vya afya vimepanga ratiba ya mithani hadi siku ya siku kuu ya kiserikali.
Vyuo hivi vina watumishi wa umma pia ambao kwa namna moja ama nyingine wanayo majukumu katika siku hii maalum ya...
Mwenye tatizo la sheria za kazi , mfano kufukuzwa kazi kimakosa, kukosa mkataba kisheria na matatizo yote ya kazi,bila kujali dini, kabila na jinsia nipigie simu namba 0782766657 au text whatsapp...
Ndugu members wa jukwaa la sheria! Kama thread head inavyojieleza hapo juu! Nahitaji mwanasheria ambaye yupo songwe au mbeya au Dare es salaam,ambaye anaweza kunisaidia kufatilia madai ya fidia ya...
Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa...
Nina ndugu yangu alipata kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni x, mkataba ukaisha, lakini hakuwahi kupewa namba ya uanachama ya mfuko wa jamii pamoja na kuwa akikatwa mchango kila mwezi...
Habari za majukumu mawakili, kuna mkwaruzano umetokea kati ya mwenye Nyumba na mpangaji Sasa msaada wa ushauri kwenu mawakili.
Ni hivi jamaa ameingia mkataba na baba mwenye Nyumba huo mkataba...
Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012
Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia:
Utaratibu wa kuomba Kibali cha...
Habari,
Natumaini ile Good morning glory inatekelezwa vyema, Bila kupoteza muda twende jamvini.
Nina ndugu yangu alipohitimu elimu ya juu akaona bora atafute mahala pa kujishikiza ili aweze...
Hello, leo nakuletea enforcement mechanisms au mfumo wa utekelezaji wa haki za binadamu duniani na vyombo vinavyohusika (monitoring bodies).
Nitaanza na enforcement mechanisms chini ya Umoja wa...
Usiku wa kuamkia jumapili nilienda kwenye sherehe ya jamaa angu alikuwa anaoa nyumbani nilimuacha mdogo wangu, Ilivyofika usiku nikamuagiza dogo aje kama anaona yupo bored.
Asubuhi tunarudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.