Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MFANYAKAZI ili Afukuzwe Kazi Kwa Sababu ya UTORO/KUTOKWEPO KAZINI, Inatakiwa Asiwepo Kazini Kwa Zaidi ya Siku Tano (5) za Kazi Bila Ruhusu au Sababu ya Msingi.
Inaletwa kwako na Nyagawa, J...
naomba kuuliza!hivi sheria ipoje kwa mtu kuchukuliwa kwa kuhisiwa kuwa ni mwizi na kufungiwa ndani na mtu mmoja anayemhisi kamuibia na kumpiga na vitu vyenye icha kali ikiwa ni pamoja na visu...
Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa...
Mchango wowote wa maendeleo,mf kujenga maboma,kufyatulisha tofali na kazi nyinyingine za kiserikali iwe ktk kijiji,mtaa,kata au wilaya je ni halali kuchukuwa mchango wa mwananchi bila kumpa risiti...
Katika kosa la bughudha ya kijinsia (Sexual harassment)
Sheria inaeleza kwamba, mtu yeyote ambaye kwa dhamira atamshambulia, au atatumia nguvu kinyume cha sheria akambughudhi mtu mwingine...
Habari, leo nakuletea makala kuhusu hatua na utaratibu wa kusajili makampuni ya kigeni nchini Tanzania.
Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate Candidate...
Wana JF naomba mchango wa maoni.
Mimi nikijana Nina miaka 28 kuna changamoto ninapitia na jirani yangu ninayefanyanae biashara inayo fanana katika eneo moja.
Tatizo kubwa ni kwamba mimi nikipata...
FAHAMU KUHUSU KUSIKILIZWA KESI UPANDE MMOJA (EXPARTE HEARING), HUKUMU YA UPANDE MMOJA (EXPARTE JUDGEMENT), KESI ZA MADAI NA KESI ZA JINAI.
INALETWA KWENU NAMI KELVIN EXZAUDI NYAGAWA, MWANASHERIA...
Swali hili nimejiuliza baada ya kuona mawakili wanavyowaheshimu mahakimu. Tena Hakimu anaitwa mheshimiwa.
Wako mahakimu ambao humaliza Diploma zao huko chuoni Tanga na kuingia kazini. Mawakili...
Habari wakuu, mimi ni mtumishi serikalini idara ya afya, nimeamua kuacha kazi na kujiajiri binafsi. Naomba kujua utatatibu wa kisheria nawezaje kuacha kazi na nisisumbuliwe na mwajiri wangu ambaye...
Habarini ndugu, naomba kupewa ushauri wa kisheria.. nilikopa kwenye bank fulani ya kigeni hela nyingi nikashindwa kurejesha. Bank hiyo walinifungulia mashtaka na sasa hukumu imetoka natakiwa...
Habari,
Naomba kujua adhabu kwa mdhamini ambaye amemchukulia mtu dhamana baada ya kufungwa kifungo cha nje.
1,endapo mtuhumiwa atakimbia?
2,endapo mtuhumiwa hatokuwa anakwenda kufanya usafi kwa...
JIHADHARI NA UPATU, UKIDHURUMIWA HUTOPATA HAKI YAKO.
Siku hizi limeibuka wimbi kubwa la watu wanaojifanya kuanzisha na kuendesha mpango wa uwekezaji wenye faida kubwa huku wakitumia ushawishi...
Poleni na majukumu wanasheria.
Napenda kujua iwapo sheria inaruhusu wasimamizi zaidi ya mmoja wa mirathi yaani kama watatu hivi.
Maana kuna familia ina watoto wa mama watatu tofauti na wako...
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya...
Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda.
Someni muone walivyo shyster lawyers hawa...
Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.