Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko. Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wazazi wanatumia rasilimali vitu, pesa, watu na pesa kumfikisha mtoto wao hadi kujitegemea. Rasilimali ambazo kama angeziwekeza zingemsaidia hata uzeeni kwake. Wazazi wanaporwa haki na mali zao...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Salaam,Mnamo mwaka 2003 kulitokea Bomoa bomoa katika maeneo ya Jeshi la wananchi kambi ya Changanyikeni 691 kj. Raia walituhumiwa kuvamia maeneo ya jeshi na kujenga bila kibali Baada ya nyumba...
0 Reactions
7 Replies
633 Views
Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia...
0 Reactions
2 Replies
523 Views
Kwa uchungu mkubwa nimeona niongee kuhusu mkoa wangu wa Morogoro, kinachoendelea kinanihuzunisha sana, mauaji ya kusikitisha kila wakati, nimeona kijana mwingine tena kauawa, ni miaka mitatu sasa...
2 Reactions
11 Replies
589 Views
Wadau, naomba kudadavuliwa ni stahili zipi anapaswa kulipwa mtumishi wa serikali anapohamishwa kituo cha kazi. Aidha, nitapenda kujua rates zikovipi.
0 Reactions
8 Replies
18K Views
WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda...
1 Reactions
1 Replies
891 Views
Mgogoro wa Ardhi. Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje. Msaada wa utaratibu. Ninahofia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka juzi nililima mahindi kijijini (mimi nakaa mjini, nimeajiriwa). Kule kijijini, kuna mama mmoja alikuwa ananisaidia kulisimamia shamba hilo kuanzia kulimwa, kupanda hadi mavuno). Na alifanya...
4 Reactions
13 Replies
727 Views
Habari wadau najua humu mtu hawezi kosa ushauri mzuri. Nina rafiki yangu mmoja hayupo humu Ila alipata changamoto kidogo kazini. Yupo serikalini Ila mmoja wa Boss wake alimfanyia Defamation kwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi. Bila kupoteza muda naomba mnisaidie kunifafanulia hili swali. Hivi kwamfano imetokea labda mtu ame-fake kifo chake alaf ww ndo ukaonekana umemuua ukafungwa miaka kadhaa...
1 Reactions
11 Replies
544 Views
A court's decree is the property capable of being attached and realized by the judgement creditor
0 Reactions
5 Replies
663 Views
MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA. Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria? Soma hapa upate majibu. Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019). tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24. wakili.
5 Reactions
250 Replies
35K Views
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba...
15 Reactions
94 Replies
9K Views
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai. Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini? Majibu yapo hapa kwenye...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tayari kipindi kinachohusiana na 𝗨𝘀𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗸𝗮 kutoka #SilayoDigitals, kimesharuka hewani. Karibu sana
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Ningependa kujua sheria yetu hapa nchini inawajibisha vipi watu waliohusika na mauaji. Endapo wahusika watakua wawili 1/Anayetaka mauaji yatendeke, huyu ndio anabeba sababu na kwa upande mwingine...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Kifungu cha 148(5)(a) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 kinasema; Afisa polisi ambapo mtuhumiwa anashikiliwa au mahakama ambapo mtuhumiwa amepelekwa kusikiliza shauri lake...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom