Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Je, umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye makala hii twende pamoja ili...
Kwa mujibu wa Sheria, mtu yeyote kwa kauli au matendo yake akitambulika kuwa ni mchawi au akitengeneza, kutumia au akimiliki zana za kichawi au akimpagtia mtu mwingine zana za uchawi au akimshauri...
Wakuu heshima kwenu
Kuna sisi wazazi tulipeleka watoto wetu kusoma nje ya nchi (Ukraine) kabla ya vita kupitia hawa maagent matapeli Globel Education link, nawaita matapeli sababu wanachokifanya...
Karibu sana mpenzi msomaji na mdau wa JamiiForums katika Somo la leo ambako tunakwenda kujifunza kuhusiana na ulinzi wa mtoto (Child Protection) hasa katika mazingira hatarishi kwa ustawi bora wa...
Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria bali pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote.
Makala hii inahusu jinsi ya...
Habari wakuu.
Kuna mtu anataka kusoma sheria. Awali ana bachelor ya education. Anataka kusoma Postgraduate diploma of law pale OUT. ALAFU ASOME LLM. HAPO HAPO.
SWALI LANGU KWENU WADAU. JE ANAWEZA...
Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo.
Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na...
Habar za asubuhi wapendwa
Kama kichwa cha habarI kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria,
Ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi...
Ikitokea mechi ya Simba [emoji881] na Yanga [emoji169][emoji172],FEI TOTO akapiga bonge la shuti likaenda kugonga uoande wa jicho la shabiki wa Simba akapelekwa hosptali ikashindikana akapata...
1. KILEO NI NINI
Kileo kimeelezewa na sheria kuwa katika makundi mawili [Section 2-(a) (b)
[a]mvinyo, bia, pombe nyeusi ya kizungu (porter), cider-kinywaji kinachotengenezwa kwa kusindika matofaa...
Msaada wa kisheria unahitajika
Nina rafiki wa kike ambaye hapo mwanzo alikuwa na mahusiano na mwanaume ambaye walikuja kuachana kutokana na tabia za jamaa kutompendeza mwanamke.
Hapo kabla...
Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa...
UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU ARDHI YA LOLIONDO
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na taarifa zisizo sahii zinazotolewa na baadhi ya viongozi kwa ushirika na wale wenye kutamani ardhi ya Loliondo kuwa...
Wakuu, naomba kueleweshwa ni kweli kwamba account zote za youtube hapa Tanzania ni lazma zisajiliwe na kulipia TCRA? JE malipo yake yanakuwaje?
Sheria inasemaje?
Habari
Naomba ushauri, nataka kujua kozi nzuri za "options" kwenye Shahada ya Kwanza ya Sheria
Ningependa kujua kozi ambazo ni applicable zaidi na ambazo zina mahitaji makubwa sokoni...
Habari wadau.
Nimeona watu wengi wanabadili dini zama hizi. hasa wakiwa na migogoro ya ndoa zao.
Reference case ben pol. alifunga ndoa ya kanisani.. then mwaka mmoja mbele akabadili dini kutoka...
Mimi ni mtumishi wa umma. Nilichukua mkopo katika taasisi ya kifedha inayoitwa Maboto. Kila nikiwaomba wanipe balance ya mkopo wangu ili niwalipe deni lao hawataki. Hivyo nahitaji msaada wenu...
habari Wana jamii forum,nilikuwa naishi na mzazi mwenzangu lakini kwa bahati mbaya tukatengana ,kipindi hicho tunatengana sikuwa najiweza Sana kiuchumi hivyo hata huduma za mtoto sikuwa napeleka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.