Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
MAKOSA YA JINAI CHINI YA SHERIA YA TAKWIMU.
Mr. George Francis.
0713736006
mr.georgefrancis21@gmail.com
Habari ndugu mtanzania,
Karibu tuwe pamoja katika kusoma na kufahamu makosa ya jinai...
Wasalaam wanajukwaa,
Ilikuwa mwaka jana (2021) mwezi wa tisa nilipochukua fomu ya Tanesco kuomba kufungiwa umeme kwangu, walinipatia bila masharti yeyote nilijaza na kuwarudishia tatizo lilianzia...
Habari zenu wanasheria, naomba msaada namna ya kusajili ministry, ya maombi na ushauri, tafadhari naomba msaada wataalam wa sheria nafahamu kwamba mnayajua haya sana.
Ni hatua gani zinatakiwa na...
Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document.
Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili).
Itungwe sheria itayopelekea...
Can State Attorneys and lawyers in the public service be Enrolled in the Roll of Advocates and Practise as an Advocate or as a Notary Public or Commissioner for Oaths?
Je, Mawakili wa Serikali...
Habar viongozi,
Msaada tafadhari mimi nililelewa na baba wa kambo na nikatumia majina yake kupata nida baadae
Baada kupata taarifa ya baba angu mzazi ikanibidi nitumie majina yake sasa nilisoma...
1. Hati ya Mashtaka inapoandaliwa na mamlaka isiyo halali kisheria hapo inakuaje?
2. Hati ya Mashtaka ambayo imerejea vipengele vya kisheria visivyo sahihi, hili nalo kisheria limekaaje...
Habari za leo wana JF wenzangu.
Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa...
Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye...
Serikali idara ya ardhi for that matter, hutenga na kupanga matumizi ya ardhi ie maeneo maalum ya ardhi kwa shughuli kama viwanda, masoko, makazi, kanisa/misikiti/cemetries etc etc.
Wanafika...
Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022.
Mwandishi: Zakaria Maseke
(Advocate...
Natanguliza Shukrani kwa jinsi kila mwenye kujua masuala ya sheria ata saidia hili suala.
Mimi siyo mjuzi wa sheria lakini naomba kujua yafuatayo:-
Kuna mtu alipata birth certificate kwa jina...
=========
ILANI: Makala hii hailengi wale wasio na leseni kabisa. Aidha, unashauriwa kupiga picha leseni yako ili angalau uwe na kumbukumbu ya namba ya leseni
=========
Kusimamishwa na trafiki...
Michezo yote ya kubahatisha (kamari) ikiwemo betting, slot machines inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Michezo ya Kubahatisha namba 4 ya mwaka 2003 sura ya 41 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka...
Wakuu leo asubuhi hii waliopita barabara ya Airport (Pugu road) ni mashahidi kuwa pana foleni ndefu kwa sababu ya misafara ya viongozi, awali alipita Makamu wa Rais, baadae kidogo kukawa na foleni...
Gari imepigwa tochi ya 90. Ila gari inayo king'amuzi na ikifikisha speed 85 kinatoa sauti. Polisi wanasema ni kosa tumezidi 80na wametupiga faini. King'amuzi ni kizima hakijawahi kushikwa na speed...
Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi...
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani aliniuzia kitu flani kama miezi miwili hivi iliopita. Tuliuziaba tu kienyeji hapakua na shadihi yoyote wala kuandukiana. Sasa hicho kitu ambacho aliniuzia nikataka...
HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI.
[PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA]
Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba.
Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.