Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanasheria au Mawakili hawako juu ya Sheria, bali wanaweza pia kushtakiwa kama mtu mwingine yeyote.
The legal Framework Governing the Conduct of Advocates in Tanzania (Sheria zinazosimamia...
Procedures, how to challenge consent judgment (namna ya kupinga hukumu iliyotokana na makubaliano yenu wenyewe)
Kama ilivyofafanuliwa na Mahakama kwenye kesi ya “Arusha Planters & Traders Ltd and...
Nini maana ya STABILIZATION CLAUSE?
Stabilization clause ni Kifungu kwenye mkataba wa uwekezaji ambacho kinazuia upande mmoja (Serikali) kutunga au kufanya marekebisho ya sheria yanayo affect...
Tunakumbushana tu,
Kwahiyo Kesi iliyofunguliwa na akina Halima Mdee na wenzake imekosa "hadhi" ya kisheria.
Kimsingi Halima Mdee na wenzake wanakubali kuwa Wamevuliwa uanachama LAKINI isivyo...
Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi...
Wasalaam,,
Kuna majirani zetu hapa dar es salaam wananyumba imekaa mjini kabisa,,nyumba hiyo ina thaman zaid ya mil 600,,sasa ipo hivi
Hiyo nyumba kwasasa inamilikiwa na wajukuu,,,,, aliyejenga...
Naongea kwa niaba ya aliekujabkuniomba ushauri!
Nilikua kwenye mahusiano na kaka mmoja tangu 2014, mwaka 2016 tukaanza kuishi pamoja bila kufunga ndoa lakini ukweni tulitambulishana, wakati...
NATIONAL MICROFINANCE BANK LTD (NMB) VS (DHIDI YA) NEEMA AKEYO, CIVIL APPEAL NO. 511 OF 2020, CAT.
Mwandishi: Zakaria Maseke
Advocate Candidate
Hii kesi inahusu mfanyakazi (Neema Akeyo) ambaye...
Msaada ndugu zangu,
Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni.
Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
Wakuu naomba kujuzwa hii imekaaje kisheria , endapo nimempangisha mtu chumba akakitumia kwa muda mrefu bila kunilipa kodi na hakuna mkataba wa maandishi tuliofanya, Je, nguvu ya kudai malipo...
Kuna mzungu mmoja ni raia wa Italy Sina uhakika kama kweli katokea Italy . Huyu mzungu anaishi maeneo ya sanawari ya juu amefungua shule feki inaitwa New bridge pre-school .
(Zamani iliitwa SAMENA...
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA...
Naitwa DERICK REUBEN MBUYA kwa cheti cha kuzaliwa.
Lakini vyeti vyangu vyote vya shule vimeandikwa DERICK R MBUYA.
Manake Jina la kati limefupishwa kama R.
1. Nimefanya Applicationza chuo kupitia...
Wakuu habari.....
Nimekuwa ni msomaji tu wa JF kama guest. Lakini baada ya kunikuta nikaona nijiunge nipate msaada maana hapa hakuna kinachoshindikana,
Iko hivi nina mwanangu wa kiume umri miaka...
Habari wana jamvi.
Ninahitaji msaada wa kimawazo na hasa kisaikolojia na sheria, sitamani kuyaandika hapa ila mwana sheria na mwana saikolojia yoyote tafadhari naomba msaada wako inbox
Imeandaliwa na kuletwa kwako na Zakaria (lawyer by profession).
Leo napenda tujifunze “Pecuniary Jurisdiction” 💸 ya Mahakama mbalimbali nchini Tanzania. 🇹🇿
Awali ya yote, tufahamu nini maana ya...
Wadau Nawasalimu.Naomba kufahamishwa Juu ya HATUA ambazo MAHAKAMA itazichukua Dhidi ya AFISA wa Serikali au TAASISI yake ambayo ni HALMASHAURI ya Mji Kugoma kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na...
Habar wana jukwaa
Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje
Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing...
Wadau, naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwajiri private (kampuni) ambapo mwajiriwa (wafanyakaz wote kwa ujumla hawana mikataba ya kaz) hajapewa mkataba na amefanya kaz zaid ya miaka 3.....+...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.