Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu ndugu zangu wana JF, Nina ndugu yangu ambaye ni dereva wa lori, Alimgonga kijana wake kwa nyuma kwa bahati mbaya kwakua hakumuona (kwa bahati mbaya alifariki)
Ndugu yangu alikamatwa...
Wasomi habari zenu,
Naomba nirukie moja kwa moja kwenye mada
Mimi ni mtumishi wa umma ambae nna mkopo benki fulani, na deni hata mwaka halijmaliza mwaka, sasa nimeshangaa kweney salary slip...
Eti guys help me with this, Soma the article and advise accordingly:
Kuna a girls ( girl V and Y ) ambao wamekuta kikazi huko Oman, sitotumia majina for its a real case in this matter. Then mmoja...
Wakuu iko hivi, nilikua natafuta chumba cha kupanga, bahati nzuri nikapata dalali akanionesha maeneo ya kigamboni. Tukaonana na ndugu wa mwenye nyumba( mdogo mtu) akatupeleka mpaka kwenye chumba...
Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini...
SHERIA NA VYANZO VYAKE TANZANIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Friday-06/05/2022
Kalema Tanganyika Katavi
Sheria ni kanuni zinazoongoza shughuli na mahusiano ya watu waishio katika jamii...
Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu.
Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha...
Hii ni kesi maarufu sana kwenye sheria ya madhara (Law of Tort) , ambayo imeanzisha kanuni (Rule au Principle) moja muhimu sana, inayojulikana kama STRICT LIABILITY.
STRICT LIABILITY, ina maana...
Dhamana ni haki inayopata msingi wake katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ambayo ina dhana inayotamka kwamba mtu hatochukuliwa kuwa mwenye hatia mpaka tuhuma zithibitishwe dhidi...
Hello, naitwa Zakaria (lawyer by profession).🎓
Leo napenda tujifunze kuhusu MAMLAKA YA MAHAKAMA ya Mwanzo (Primary Court).
Kwa ufupi, Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo...
Mahakama ya Mwanzo na Sheria zake:
Mwandishi: Zakaria - Lawyer by profession).
Watu wengi hata waliosoma sheria huwa wanachanganya kati ya sheria zinazotumika Primary Court na Sheria...
Ni kesi ya “JUDITH PATRICK KYAMBA versus (dhidi ya) TUNSUME MWIMBE AND 3 OTHERS, PROBATE AND ADMINISTRATION CAUSE (Shauri la Mirathi) NO. 50 OF 2016.”
Kutokana na upekee na umuhimu wa hii mada...
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua...
Wanasheria naomba Msaada wenu.
Mimi ni Mmiliki wa Kiwanja chenye Hati Milki ya Miaka 66
Kuna Mtu kavamia hicho Kiwanja kwa Madai ya kutokulipwa Fidia na Taasisi iliyotwaa Maeneo na Kupima Viwanja...
Kama shauri la kesi A limetolewa katika mahama ya mwanzo iliyoko wilaya A, Je kama kuna shida ya utekelezaji wa kesi imetokea na wahusika wamehama hio wilaya waliyohukumiwa.
Je, kuna uwezekano wa...
Hello wana Jf,
Kuna jambo lina tatiza kidogo.. naombeni ushauri ili ni msaidie huyu mama ambaye ni Jirani yetu (Family friend wa muda mrefu) Ila anachangamoto fulani wadau wa Sheria mnaweza...
Habarini Wadau!!
Mimi nikiwa Kama mtumiaji wa chombo cha usafiri ninapata shida sana na hawa Askari wa Usalama barabarani.
Kuna hili suala, unakamatwa na Traffic barabarani anakueleza sababu ya...
Someni mpate kujifunza jambo.
Sehemu ya 1
Kesi ya rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili imeanza kusikilizwa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.