Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habarin za jion Wana Jf Naomba kuulza hiv Makamishina wa Tume ya utumish wa umma ua wanateuliwa na rais baada ya muda gan? na tufaa ukaa Tume kwa muda gan ikisubir kuamuliwa
Sent from my Infinix...
Ndugu zangu wajuzi wa sheria, naomba mnisaidie kujua mambo haya;
1.Hivi mtu ukiwa mwalimu tu, ni lazima uwe mwanachama wa CWT?
2.Sija wai kukubali kujaza Form no.6, na wananilazimisha kujaza na...
Katika mizunguko ya dunia, Rafiki yangu alileta mwanamke kwake (mpenzi) si unajua mambo ya Vijana tena.
Sasa kwa maelezo yake ni kwamba huyo mwanamke ambaye wamefahamiana kama miezi minne hivi na...
Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama...
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti...
Hivi mtu ukiwa Na cheti cha ndoa Na mtu akikuchukulia mkeo Bila wewe kumpa talaka Sheria inasemaje juu ya ilo?
Nitalipwa au nitapigwa Na kitu kizito kichwani?
Nabii Mwingira alinunua Shamba la Milonje Rukwa plot 48/1 lenye ecari 25,000 kwa gharama ya Tshs 600M kwa kusaidiwa na aliyekuwa RC Olenjorai.
Hata hivyo baada ya kufanikiwa rushwa hiyo Nabii...
ndugu wana jf;
naombeni msaada wa kisheria kuhusu kujiunga na vyama vya wafanyakazi katika haya yafuatayo:
1.kujiunga na vyama vya wafanyakaz n lazma au hiari?
2.kukatwa mshahara kwa ajili ya...
UGONI NI NINI KISHERIA?
Leo nitaelezea kwa uchache sana juu ya suala la Ugoni, moja ya jambo linalofanyika sana kwenye jamii zetu.
Kumekuwepo na jambo linaloitwa ugoni (Adultery) ambalo kimsingi...
Mimi nilipata ajali ya gari wakati niko kazini nikavunja mkono ajari ni uzembe wa mwajiri alikuwa akitumia gari la mizigo kama staff buss na siku ya ajali aliendesha gari raia wa kigeni asiye na...
TAMBUA MABARAZA YA KATA HAYANA MAMLAKA YA KUSIKILIZA NA KUAMUA MIGOGORO YA ARDHI TENA.
Na Comred Mbwana Allyamtu(CMCA)
Sunday-01/05/2022
Sumbwanga, Rukwa, Tanzania
Leo itupendeze tutajadili...
Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii...
Naomba nifahamishwe hili la KESI ya MBOWE kufutwa, au DPP kutokuwa interest na KESI, Swali langu ni Je Vielelezo navidhibiti vyote vitarudishwa Kwa wenyewe? Kama vitarudishwa. Je AKINA Bwire...
Wanabodi,
Japo ile clip ya Rwakatare kwenye Utube ni "bonafide genuine", nikimaanisha ni video ya ukweli na sio ya kupikwa au kufanyiwa maujanja yoyote, bali kwa mujibu wa sheria zetu za ushahidi...
Wadau kumekuwa Na Tabia ya Polisi kumkamata Mtu na ndugu na Jamaa zake Wakitaka kujua sababu ya ndugu yao kukamatwa na Alipo POLISI HUKATAA kuwa hawajamkamata na Baya zaidi hata Mahakamani...
Bado haieleweki vema kwamba Freeman Mbowe ameachiliwa katika misingi gani haswa, ukiachilia mbali sheria iliyompa mamlaka DPP kuamua kutoendelea na kesi.
Kwa mfano, Dr Akandunduma anadai kuwa...
Naanza na kutoa Pole kwa watanzania wote, hasa ndugu jamaa na marafiki wa karibu wa Kanumba The Great (R.I.P) kabla sijatoa mchango wangu kuhusu hili jambo zito na nyeti ambalo limetawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.