Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini za jioni
Naomba kuuliza kama mtu umenunua nyumba na mkataba wa mauziano ukapotea na waliouziana mmoja amefariki. Je aliye baki(muuzaji)anaweza akaandika affidavit kuthibitisha kuwa...
Wakuu ipo hivi,
kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu.
Mzee wangu alifariki...
Naombeni msaada wa mawazo maana nahisi nitakufa kwa mawazo ila ninajikaza. Mimi ni mama wa miaka 30 Nina mtoto mmoja, nina ndoa ya kimila. Nampenda sana mme wangu lakini tumekuwa hatuna maelewano...
Tukio hilo lilitokea katika mtaa huu.......
Ingawa tukio hili lilitokea takribani miongo mitatu iliyopita lakini ni tukio ambalo liliacha simulizi katika jiji la Dar Es Salaam na vitongoji vyake...
Habari za majukumu wana JF bila kuzunguka zunguka naomba kufahamishwa endapo kuna uwezekano wa mtumishi wa serikali kubadili jina moja katika majina yake matatu na yakaweza kubadilika hadi katika...
Salaam wana JF,
Naombeni mnifafanulie nijue kisheria limekaaje hii jambo.
AC ya ofisini ilikuwa imeharibika, jamaayangu akanipa namba za fundi mmoja ambae alidai ni mzuri na alishawahi...
Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake...
Hivi kama umeajiriwa na miaka yote umefanya kazi ya aina fulani, anatokea Boss anakwambia ufanye kazi fulani post nyingine lkn hiyo kazi kipengele unayoiwezea unakubali kuifanya ile ambayo...
Ndugu zanguni naombeni ushauri, hii sheria mpya inasemaje kwa watu walio kamatwa wanatesekea ndani kwa miezi mitatu kila siku upelelezi hauja kamilika.
Naomba kujua , hii sheria ina tekelezwa kwa...
Habari za leo ndugu zangu,
Nimepigiwa simu kuwa mahakamani kuna Summons yangu kwaajili ya kesi ya madai ambapo mdai wangu anakazia hukumu ili aweze kukamata mali zangu, Deni analodai si halisi...
NIA YA KUUA/ MALICE AFORETHOUGHT
Kuua kwa kukusudia (murder) adhabu yake ni moja tu kunyongwa mpaka kufa. Kuua bila kukusudia (manslaughter) adhabu yake ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, na...
Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai
sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa.
NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA...
Habari zenu wana jukwaa la sheria
Niende kwenye mada moja kwa moja mwezi mmoja wiki kadhaa zilizopita kuna mtu nilifanya nae makubaliano ya kununua biashara yangu kwa kiasi cha milioni 4 na...
Habari za saizi wana jamiiforums natumaini mu wazima wa afya, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika
Eti kwa mfano mzazi wako alikopa fedha kwenye taasisi zinazokopesha fedha, akashindwa...
Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. nipo stressed sana.
Nilitegemea hizo hela...
Waungwana na wajuvi habari zenu:
Naomba kufahamishwa nijue;
Je; DPP anaweza kufuta/ au kuondoa kesi hata pale baada ya mashahidi wake wote kutoa ushadi na ikathibitika kuna kesi ya kujibu...
Habari wakuu naomba msaada wa kujua sheria ya mkataba wa mnara wa simu pale wanapo taka kujenga ktk eneo lako.
Nimeenda mkoani nikuta watu wa minara ya simu wamejenga kwenye eneo la nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.