Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ninaomba kueleweshwa na kuelekezwa nini cha kufanya kisheria ili kupata haki yangu.
Niliwahi kukopa kwenye kitaasisi furani mwaka Jana sasa mwaka huu CRDB wamenihamasisha kwa kuwa wamepunguza...
Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi...
Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka...
Unapoomba revision kwenye labour cases huwa kuna umuhimu wa kuambatanisha kwenye Notice of Application vielelezo ulivyovitumia CMA?
Kama jibu ni ndiyo, kama mtu akuviweka nn afanye ili vifike...
Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa:
"40. Dismissal of charge
At any stage of the proceedings the Court may, if...
Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.
Maana...
Habari Ndugu zangu? Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Nianze kwa nukuu ifutayo.
"HAKI HAIPASWI TU KUTENDEKA BALI YAPASWA KUONEKANA IMETENDEKA"
Kwa sasa wengi wetu tumejawa...
wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi.
Je na ile sheria inayowapa nguvu...
BAADHI YA MWASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Ndugu WanaJamiiForums naomba mnisaidie katika hili swala. mimi ninamwanake ambaye nimeishi naye muda wa miaka 6, tukabarikiwa kupata mtoto mmoja ana...
Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana.
Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki...
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?
Naomba kujua vigezo...
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini...
Excerpt from the CA judgement........... Consequently, we invoke the provisions ofsection4(2)of the AJA to revise and nullify the proceedings of the CMA with respect to the evidence of PW1 and DW1...
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika...
Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa...
Wakuu salaam!
Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani.
Yanayoendelea kwenye kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.