Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nawiwa kuombwa msaada wa kutafsiriwa kifungu hiki Cha 84 (2) Cha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusu namna ya kumpata spika wa bunge. Ni sahihi kusema kuwa nafasi ya naibu spika...
2 Reactions
9 Replies
911 Views
FATUMA KARUME LAZIMA UJUE SHERIA ZA ASILI(ZA MUNGU) HAZIPITWI NA WAKATI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari; Andiko hili huenda likawa limetumia lugha Kali. Ikiwa unatatizo na Lugha Kali na...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari za mda huu wandugu? Msada wenu wananipo naomba kujulishwa tofauti kati ya jaji na hakimu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu na wanachama wenzangu wa hapa Jamiiforum? Nimatumaini yangu kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu mmeamka salama,niwatakie jumapili njema nyote . Nielekee moja kwa moja ktk mada kuu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali hii...
79 Reactions
62 Replies
32K Views
Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja. Nitashukuru sana, maana nataka kudhulumiwa kiwanja changu.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Bi Nuru Togwa(30) alikamwatwa na walinzi wa Nabii Mwingira baada ya kupita karibu na Shamba hilo na kupelekwa katika kambi yao na kukatwa Masikio yote mawili na kunajisiwa. Bi Alesi Maarifa...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Unyama huu nita andika Barua Kwa IGP nielezee kila kinacho endelea hapo Police na kila wanacho taka ili kumtoa mtu ambaye hausiki na kesi ana tesekea tu Central police..
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za jioni wanajukwaa , Tafadhari naomba ufafanuzi wa maneno yafuatayo kama yanayovyotumika katika law of contract . 1.what is postal rule on acceptance 2.what is an invitation to treat...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKI YA KUZIKA, kaka wa Antigone Polyneices alikuwa kwenye kupambania miliki ya Thebes. Mfalume Creon akatoa amri kuwa asizikwe kwasabbu marehemu alimpinga. Antigon akamzika. Alipoulizwa na...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Leo wa kazi wa mji mwema kigamboni walifunga barabara baada ya kuamriwa kuondoka kwenye eneo la machimbo ya mawe na wananchio hawa kugoma, jambo hilo la kugoma lililazimisha polisi kutumia mabomu...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
kakangu anaye mtoto anasoma sheria katika chuo fulani hapa bongo, ameniomba list ya vitabu vilivyoandikwa Kitanzania vya sheria vinavyoweza kumsaidia dogo chuo amnunulie. Naamini Maprofesa wetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Wasalaam Naombeni msaada wa kisheria kwa namna gani naweza kumchukulia hatua cameran ambaye amepatiwa kazi ya kupiga picha na video kwenye tukio la harusi/sendoff lakini akakiuka maadili kwa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF. Nilikua naomba kupata clarification kidogo ya kisheria kuhusiana na jambo hili Kuna mtu(Mpangaji mwenzangu) amekua akinizingua sana kwa kunitukana kwa matusi na wakati mwengine...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kijana amempa mtoto wa shule mimba yule kijana akakamatwa chaajabu police wamemwachia bila kunipa taarifa yoyote,nilipomuuliza police aliyepewa kupeleleza hiyo kesi ameniambia mtuhumiwa...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Tangu kesi ya Mbowe na wenzie ianze upade wa utetezi umeweka mapingamizi kama sikosei matatu na yote yametupwa. Ningefurahi kama wangetokea wanasheria huru waweke ushabiki pembeni) na watusaidie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kifungu cha 87 cha kanuni ya Adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2002 kinazuia watu kupigana adharani na mtu yeyote atakayepigana adharani, adhabu yake ni kifungo cha miezi sita...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom