Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wadau,kumekuwepo mkanganyiko juu ya talalaka pande zote Islam na ukristo watoto haki yao ikoje wale walioko kwenye ndoa hebu mnisaidie mwanasheria hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF.
Nilikua naomba kupata clarification kidogo ya kisheria kuhusiana na jambo hili Kuna mtu(Mpangaji mwenzangu) amekua akinizingua sana kwa kunitukana kwa matusi na wakati mwengine...
Yapata miezi kama kama miwili imepita Tangu nilipobomolewa mlango wa nyumba ya kupanga mida ya mchana na nikaibiwa vitu kadhaa ikiwepo TV , radio, pesa , vyombo na vitu vingine.
Wakati...
Habari, nilikuwa nikifanya kazi kwenye kampuni fulani ya uuzaji wa mafuta,nimefanya kazi kwa muda wa miezi 10 bila kupewa mkataba unaonifanya kujua haki na stahiki zangu kwa kipind chote mpka...
Habari za muda huu wana JF, Naomba tupeane habari kuhusu baadhi ya kesi maarufu zilizowahi kutokea ndani ya Tanzania ambazo kwa kiasi fulani zilitikisa na sasa zinatumika katika maamuzi ya kesi...
Habari wana Forum
Tafadhali ninaomba materials ya sheria, hii ni pamoja na Case Law na Notice
Ninaomba materials ya Contract Law, Arbitration and Dispute Resolution (ADR), Law of Evidence...
Wakuu wanasheria natumaini mko poa.
Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu...
Tumia neno majo hapo chini utunge sentensi kwa lugha ya kiingereza au Kiswahili yenye maana:
1.PGO
2.Competency
3.Relevancy
4.Materiality
5.Mchongo.
6.fuctus officio
7.Chain of custody
8.Tazara...
Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili...
Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka?
Ili kufanya maamuzi madogo lazima...
What was the issue of contention, what was Liganga supposed to decide? Kama ni issues hizi: Estopel? Res judicata? au Functus Officio? Mahakama ya Rufaa ilishaweka msimamo kamili: ina rejea ya...
Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba...
Habarini wanafamilia, kuna jirani yangu nilimkopesha pesa kiasi cha sh 550,000 bila maandishi kwani hata yeye huwa ananikopesha pasipo na maandishi.
Ipo hivi kuna siku alimtuma mdogo wake aje...
Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania:
Na. M. Majaliwa, Esq.
Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na...
Discrediting Evidence in a Criminal Trial
Discrediting evidence can be the best line of defense.
By Deborah C. England
Types of Evidence
In general, three types of evidence will typically be...
Naomba kujua,
Hakimu anatumia vigezo gani kumpa mdai au kumkadilia mdai kias cha malipo ya general damages katika kesi za madai?au anaamua tu kutoka kichwan mwake na si vigezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.