Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Salam wakuu, Naomba kuuliza kwa wataalam wa Sheria, je katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates. Kwa mfano nchi ya USA majimbo kama California, Connecticut, Mississippi...
1 Reactions
4 Replies
859 Views
Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani. Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa.. Copy ya hukumu ..hawampi.. Ushirikiano sifuri... Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI? Tanzania tunazo taasisi za...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Great thinkers. Kama mada husika inavyojieleza hapo juu. Naomba kufahamishwa utaritibu wa kisheria pale inapotekea baa kupiga muziki kwa sauti kubwa hadi usiku wa manane na kuleta usumbufu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Salaam Wakuu. Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu. Kufupisha Stori, Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana sheria wasomi ma nguli naombeni kuuliza? Imekaaje ndugu Mwijaku kutoa ahadi ya kupigwa mawe hadi kufa. Je, watu wakimpiga mawe kwa maombi yake mwenyewe na wakamuua sheria inasemaje hapo...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Wakuu,habari. Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama. Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa? Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Inakuaje hapo Jaji au Hakimu anasoma hukumu halafu mkiomba nakala haiko tayari Alikuwa anasoma nini?
0 Reactions
8 Replies
885 Views
Nawasalim kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nina yaandika haya ni kiwa Tanga kaskazini mwa Tanzania. Mimi ni Mtanzania wa bara ,ila ninaye ndugu yangu ambae alikua anafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Wakuu habari, Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa; BAKWATA (kwa ndoa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa? Pia...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Ninaomba mwenye utaalamu wa kuandika madai ya Bima anisaidie. Nilipata ajali ya kugongwa na gari Octoba mwaka jana na hatua zote za kipolisi zimetimia. mpaka sasa bado kesi...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Eti wakuu hii kitu inawezekana kwa Tanzania?
1 Reactions
10 Replies
883 Views
Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Wajuvi wa mambo naomba mnijuze "Hivi mawakili uwa wanasalimianaje mahakamani?"
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7 MAGARI 6 aina ya BENZI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This is the book which pacts with the significant area of practice in law, ‘Execution’, especially in Tanzanian context. It covers almost all important areas of the law and therefore gives answers...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana wa nchi. Naombeni mnielimishe ni mambo yapi yanahitajika pale unaponunua chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji kutoka kwa mtu. Nisaidieni mambo yote ambayo...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom