Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Jamani nataka kujua ada ya law school na je ninaweza kukopeshwa au ni kujitegemea tu? Nawasilisha ahsanteni
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Mke ambaye aliolewa na mume ambaye tayari alishakuwa na nyumba ya kuishi,ameishi na mumewe miaka mitatu baadaye anaamua kuondoka nyumbani kwa hiari yake mwenyewe ni baada ya kufumaniwa. Mume...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wasomi, Leo ni siku ya 12 nimenyimwa dhamana hapa kituo cha polisi baada ya kifunguliwa kesi ua jinai kwa kujioatia pesa kwa njia ya udanyanyifu kitu ambacho siyo kweli kwani tulifanya...
0 Reactions
6 Replies
938 Views
Kwa kuwa ni mjadala mpana ndani ya mahakama kuhusiana na kesi inayomkabili FEM na wenzake. Mimi siyo mwanasheria ila naomba mtufafanulie kwa kuwa humu najua kuna wabobezi WA Sheria, asanteeni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania. kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekasimishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto jukumu la kudhibiti bidhaa za tumbaku kuanzia tarehe 30 Aprili, 2021 kupitia...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani. Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi. Naweka hii order muione . Halaf hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukipeleka shauri (ombi) mahakamani nyaraka lazima zitaje sheria inayoipa uwezo Mahakama kushughulikia na kumpa Muombaji hicho anachoomba. Pale ambapo mwombaji kwenye nyaraka anayoombea hicho...
3 Reactions
5 Replies
701 Views
Habari wana jf, kuna bar ina kisima ndani kwenye eneo la dancing floor.wenyewe wanadai kipind chanyuma hicho kisima kilikuwa nje. Walivyopanua jengo kikamezwa ndani. Sasa hiki kimekua hatari kwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hapo vip!! Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi. Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na...
8 Reactions
86 Replies
6K Views
WanaJF Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka sana na mawakili na mahakimu.
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Ikifika kwenye MASHINDANO ya kusolve matatizo ya JAMII wanasheria ni wazuri sana kwa vifungu... Miamba ya vitabu Vya dini wakiamua kupambana kwa kutumia Jamii ya watanzania kujua lipi AGANO ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu , Kuna kampuni inalipa mshahara wa fixed 150k kwa siku 26 tu . Wanakwambia masaa yanayozidi unapaswa kulipwa kama Overtime lakini chakushangaa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya: 1. Wajumbe wake wanapatikanaje. 2. Idadi ya wajumbe. 3. Muda wa kazi kabla ya kubadilishwa/kuondolewa ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao. Hakimu...
1 Reactions
1 Replies
723 Views
Ipo kwenye TanzLii lakini kuna some missing pages page no.6 and 13.. Naomba tafadhali kama kuna aliye Court of Appeal Mwanza anisaidie kuniwekea complete judgement. Pia ikiwezekana na High Court...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli ni magumashi ya kulipiza kisasa baada ya kushughulika vema na ufisadi hai. Tumeona washitakiwa wengine wenye kosa zaidi ya moja kufunguliwa kesi moja na kisha kutumikia hukumu moja kwa...
2 Reactions
3 Replies
976 Views
Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Back
Top Bottom