Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine.
Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu.
Je baada ya kutoa notice ya...
Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini...
Kabla ya kuoa ulikuwa na mali zako ulizomiliki kama nyumba, gari na ardhi(shamba). Ukaja kuoa baadae mkazinguana na mwanamke mkatalikiana.
Sasa katika kugawana mali; je, zile mali ulizochuma...
Wakubwa,
Hivi vibao vya shule na taasisi nyingine za serikali vilivyoko kwenye hifadhi ya barabara(road reserve) huwa vipo kisheria ama vipi
Nimeuliza hivyo maana kuna mdogo wangu kagonga kibao...
Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake?
Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua?
Asanteni wanasheria!
Habarini wana jamvi,Nina shida kuhusiana na kichwa cha habari husika hapo juu.
Iko hivi Miezi 6 iliyo pita nilinunua kiwanja cha makazi maeneo ya Kinyerezi Dar es Salaam, Baada ya...
Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano.
(Hili tukio siyo halisi. Majina yametajwa katika mantiki na muktadha wa urithi wa kihistoria ambao unarithishwa vizazi hata vizazi kwa njia ya uandishi)
Advocate...
How to cross-examine a witness
Ask questions, rather than making statements.
Keep your questions short and to the point.
Try and ask questions that have a 'yes or no' answer. ...
You must put...
Wakuu nauliza naweza weka jina 3 na lisilete shida yeyote kwenye mfumo wa kiserikali ikiwa vyeti vyangu vya shule na chuo vina majina mawili.
Wanasheria naombeni hatua ya kwanza kufanya ili...
Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?
Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au...
Hakuna ubishi kuwa wanasheria wanatafuta ukweli kuhusu mambo yaliyofanywa na kufanyiwa wateja wao ambao sisi wananchi wa kawaida tunaufahamu. Tunaufahamu ukweli wote kwakuwa wahalifu na...
Nauliza swali kwa wizara ya mambo ya ndani, ninandugu yangu wakati wa tuhuma y vyeti feki, ilimtokea yeye na aliomba kuacha kazi, na hakuwahi kujibiwa barua ya kuacha kazi, Tangia mwaka 2016...
Habari wadau,
Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller).
Binafsi...
Jamaa amekamatwa na polisi akiwa faragha na mwanamke umri miaka 16
Nasema ni mwanamke kwa sababu akiwa na umri wa miaka 15 alipigwa ujauzito na mwanafunzi mwenzake wakasovu huko yakaisha na...
sheria zetu za Tanzania zinatambua aina mbili za utaratibu wa mirathi
1. utaratibu unao muhusu mtu ambaye amekufa bila kuacha wosia
2. Mtu ambaye ameacha wosia
Kwa habari ya mtu ambaye...
Binafsi sina tatizo sana na utendaji wa Mhe. Rais, naiona dhamira yake ya dhati kabisa katika kulipeleka Taifa mbele, bado ninaimani kubwa sana na JPM kiutendaji.
Yako mengi Mhe. Rais anayofanya...
Nafahamu kuwa ili Mtumisshi awez2 kihama kituo chake Cha kazi no sharti awe amekaa.k2a.mida usiopunguaa miaka 3,vinginevyo mwajiri ndiye amhamishe!
Je Standing Order inasemaje iwapo Mtumishi ana...
Kimsingi dunia huwa haishirikiani na gaidi yoyote na dunia ni watu na maliasili zao.
Sasa endapo mtu aliyetuhumiwa kwa ugaidi na kutengwa na " dunia" akionekana hana hatia mbele ya mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.