Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kabla ujaingia Katika manunuzi ya nyumba au kiwanja omba kopi ya hati ukafanye official search kujilizisha kuwa kweli ni Mali harali ya muhusika .kutembelea eneo husika kuangalia Kama halina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndoa batilifu ni zile ndoa ambazo kwa mtazamo ni halali lakini uwezekano wa kuzifanya ziwe batili unakuwepo pale tu mmoja wa wanandoa anapoamua kudai iwe batili Kwa maneno mengine wanandoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujuwa ....Endapo mtuhumiwa akifikishwa mahakamani..akafunguliwa ...mashtaka...kwa kifungu ambacho...sio sahii...mfano: Mtu ...ametenda kosa .ambalo ilo kosa linajulikana kuwa amevunja...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hbr wadau wa JF? Boss wangu amekuwa na kawaida ya kuziblock barua za wafanyakazi zisiendelee na mzunguko kuwafikia wakubwa zake kwa sbb zake binafsi ambazo anazijua yeye! Nimeandika barua yangu...
1 Reactions
0 Replies
863 Views
Wakuu habari za majukumu!? Ni matumaini yangu wote mpo salama na kama kuna mwenye tatizo M/Mungu akufanyie wepesi katika pito lako. Hapa ninayo mada ubaoni inayohusu kutafuta ufafanuzi wa kisheria...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Kama heading inavyojieleza naomba kuelimishwa tofauti ya NGO na Foundation na zinasajiliwa wapi? Na je mawakili wanaandaa Memart zake? Gharama ya chini inaanzia bei gani? Na kama kuna anayejuwa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Nilivyokuwa na miaka 14 nilipata ajali mbaya ya kogogwa na Gari Arusha. Mimi na rafiki yangu wakati huo tulikuwa kwenye baiskeli tunashangilia kuchaguliwa kuingia form 1. Mimi ndiyo nilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sheria hii ni miongoni mwa sheria za kipekee, ambayo vifungu vyake vimepewa nguvu dhidi ya sheria nyingine pale ambapo mgongano utatokea (kikawaida nguvu hii hupewa katiba ya nchi/nguvu yakitatiba...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Sio kweli kama Waziri Simbachewene alivyosema kuwa asiye na cheti cha ndoa hawezi kufumania. Yeyote mwenye ndoa halali anaweza kufumania. Na ndoa halali imetajwa Kifungu cha 9 cha Sheria ya Ndoa...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Watumishi wa Drs la 7 walioondolewa kwenye utumishi wa umma mwaka 2017 halafu mwaka 2020 wakapewa barua rasmi za kusitisha ajira na kulipwa kiinua mgongo, likizo na nauli. Swali je, kati ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau naomba kujua Ni Hatua Zipi za kuchukua iwapo Manispaa itakataa Kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na MAHAKAMA KUU.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na wimbi la CORONA sasa hivi ofisi nyingi zimefungwa na raia wanafanyia kazi majumbani! Sasa juzi kati nimepata deal kutoka ofisi nyingine wanataka waniajiri. Sasa nikawa nawaza kwa sauti...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
KISHERIA MKATABA WA SIMBA NA MO ULISHAKUFA SIKU NYINGI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Katika kesi ya PHOTO PRODUCTION LTD vs SECURICOR TRANSPORT LTD[1980] 1 ALL ER 556 mahakama...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Niulize wanasheria ukikaa na mwanamke muda gani ndo sheria inatambua kama ni mke wako?
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro. Kutokana na...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari Wanajamvi naleta Hoja hii mezani kwakuw hivi karbu mke wangu aliomba uhamisho (kujihamisha kwa gharama zake) wa ndani ya wilaya Lengo ikiwa awe karbu nami (family) zaid ofisi ikampeleka...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye hukumu ya akina Mbowe et al iliyotolewa last month na Jaji Mgeta aniwekee hapa au inbox please and please. Nimeangalia TanzLII hakuna.
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Habari, Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba.. Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
UGAIDI: UFAFANUZI WA KISHERIA NA HATARI ILIYOPO JUU YA MASHTAKA YA UGAIDI DHIDI YA MH. FREEMAN MBOWE NA WENGINE (3). Na. Alphonce Lusako (Human Rights-Lawyer) Andiko Hili litajikita Katika Mambo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom