Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakati wa Ukoloni Wazungu waliwinda wanyama na wakisafurisha nyara bila ridhaa yetu. Pichani ni urembo wa vichwa vya wanyama na ngozi, haya yalikua ni mapambo ya kawaida kwa Wazungu matajiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nataka kuuliza leo, Haya matukio ya kuuana kwenye mahusiano hasa fumanizi yamekuwa mengi sana siku hizi. Hivi karibuni tu January 04 ya mwaka huu tulisikia jamaa mmoja Huko Chunya Mbeya...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Habarini Wakuu Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.Kuna kesi ya ndugu yangu Mahakama Fulani ya CMA ambayo kimsingi ilishafungwa ushahidi miezi kadhaa iliyopita Kinachoshangaza kila wakienda...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habarini za Majukumu Wadau. Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu. Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Naomba kuuliza mtu akikata rufaa kesi inasikilizwa upya au wanatumia maelezo ya hukumu ya mwanzo. Pia naomba kujua mamlaka ya mahakama ya wilaya inao uwezo kuhukumu kifungo cha...
2 Reactions
2 Replies
883 Views
Ndugu zangu nisaidieni TANESCO wameweka nguzo ya umeme tena ni ya TRANSFOMA kwenye katikati ya kiwanja cha nyumba . hivi kuna sheria yeyote itakayonisaidia? Naombeni msaada jamani. Sent using...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
wanabodi Nimekaa nikawaza hili jambo, mara zote wosia wa marehemu unajikita kwenye historia ya elimu, kuoa au kuolewa na kazi ila hazitaji mafanikio ya kimsingi kwa marehemu, its high time...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wabobezi habari za asubuhi. Napenda kuuliza, ikiwa nimefunga ndoa ya kiserikali na ikafikia wakati tukawa tumetengana na mwenzangu kwa maana ya kuachana japo tuna watoto, naruhusiwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Hello wana JF, Naombeni ufafanuzi wa kisheria juu ya swala hili: Endapo mtu amemdhamini mtu polisi ambae anashikiliwa kwa kesi ya utapeli au wizi wa kuaminika halafu akatoweka na asipatikane kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wana Jamii. Hivi process ya kukaza hukumu inakuaje? Mfano mmeshinda kesi mahakamani na unataka wale waliokushataki wasijate rufaa ni hatua zipi za kufata za kiesheri ili uweze kukaza hukumu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wandugu naomba mwenye soft copy ya Law of contract anitupie hapa! Nitashukuru.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna mtu kaniuliza hilo swali. Alikuwa mwalimu,akaondoka kazini bila taarifa,baadae akapokea barua ya kufukuzwa kazi kwa utoro. Je,anaweza kurejea kazini tena? Kisheria na ki utaratibu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau? Kwa wabobezi wa sheria especially maeneo ya kazi. Mke wangu ametoka likizo ya uzazi, na amerudi kazini, lakini boss wake anamforce kufanya kazi full time na muda mwingine anatoka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Businessman charged with murder Saturday, 11 August 2012 11:25 By Rosina John A prominent Dar es Salaam businessman, Abubakar Marijanii, alias Papaa Msofe, was yesterday charged with the murder...
3 Reactions
88 Replies
29K Views
Legrande Mupao! Suveree anashikiliwa na kituo cha polisi cha magomeni kwa tuhuma za mauaji. Source:magazeti ya leo
2 Reactions
123 Replies
27K Views
Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi za kufuatwa kwa mtumishi wa umma mwenye ajira ya kudumu? Je, anaruhusiwa kutoa notisi ya miezi mitatu?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wadau Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi. Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwaka 2015 kuna mzee aliniambia anauza viwanja 1.5m, alikua na eneo kubwa akasema anafuatilia taratibu za kukamilisha upimaji hivyo wanaotaka walipie kabisa ili majina yakitoka yatoke kwa majina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ninahitaji sana mkata wa Dawasa unaohusu huduma kwa mteja,nimejaribu kutafuta kwenye website yao lakini nimekuta kurasa kumi tu na nyingine hawaja ziweka. Msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Kwa wale wasiojua katika historia ya adhabu ya kunyongwa Tanzania ni watu wawili tu walionyongwa. Ni wengi waliohukumiwa kifo ila hawajanyongwa wote. Wafuatao na matukio yao ndio ninaowajua...
4 Reactions
30 Replies
8K Views
Back
Top Bottom