Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mtu amekamatwa akiuza nyama ya mbwa (wamemchinja mbwa wakaandaa mishikaki wakawa wanauza, na nyingine wakauza kwenye supu). Watu hawa watashitakiwa kwa kosa gani? na ni sheria gani chini ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba msaada Sheri ya manunuzi inasemaje endapo, ikiwa vifaa kama nondo, bati etc vimebaki, jee vinaruhusiwa kuuzwa? Kama ndio kwautaratibu gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeuliza maana mie na wenzangu tunataka kutafuta wanasheria tufungue kesi mahakama kuu kupinga sheria hizi zilizopitishwa na bunge letu tokea kikao cha Januari hadi sasa. Sababu ya msingi ya...
2 Reactions
2 Replies
829 Views
Wakuu kwema? Naomba kujua jambo kuhusu kesi zinazohusu jamhuri. Taasisi ya serikali ikikushtaki na ukakamatwa na mwisho wa kesi ikagundulika huna hatia, na wakati unakamatwa vifaa vya ofisi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kikao cha nidhamu kikimkuta mwajiriwa anayo hatia lkn hakikutoa mapendekezo ya adhabu, Je Mwajiri anaweza kumfukuza kazi mwajiriwa ktk mazingira kama hayo?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari viongozi NAOMBA kujua Sheria inasema Nini Kama Mimi mtumishi wa Umma (ngazi ya Halmashauri) nitaamua kujiamisha kituo Cha Kazi Kama wao ofisi awajaniamisha kwa wakati). Je, Nini kinawez...
0 Reactions
3 Replies
879 Views
Nilikuwa mtumishi katika wizara. Nilifukuzwa kazi miaka 3 sasa naomba msaada wa namna ya kukata rufaa nirudi kazini.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba kupewa ufafanuzi. 1) mwajiri akikusimamisha kazi anatakiwa aunde tume ndani ya siku ngap? Na asipo unda tume? 2) Je, ni halali kwa mwajiri kumjibu mtumishi majibu ya chargesheet au majibu...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Habar ya mida wakuuu, Nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kazi Leo kwa mazingira ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
CMA wanapochelewesha kutoa nakala ya hukumu kwa kipindi cha mpaka miezi 3 sasa. Je nini waweza kufanya?
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Wajuzi naomba kujua hii ipoje maana waziri anayo mamlamka kisheria kumsimamisha kazi wateule wa rais kama vile maDc, maRc, makatibu wakuu wa wizara nk. Naomba kupewa elimu katika hilo.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wajuvi wa sheria imekaaje hii kwamba mumishi anasimamishwa kazi na kulipwa nusu mshahara? Nimeisoma sheria ya kazi na mahusiano kazini ya mwaka 2004 inasema mtu atasimama kazi na kulipwa mshahara...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Kindly supply to me application for extension of time to appeal out of time criminal case, original jurisdiction Ni D'court [emoji120][emoji120]. Its Urgent Learned
1 Reactions
2 Replies
809 Views
Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Jana nilikuwa katika bar moja maeneo ya Tabata, nikashuhudia binti mhudumu wa bar hii akitendewa unyama na mmiliki wa bar. Amempiga makofi, ngumi na mateke..kufuatilia kwa karibu tukagundua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba kuuliza hiki kitu kinanitatiza. Kwanini Waziri Mkuu hana naibu?
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu Moja kwa Moja kwenye mada: Jameni nimeamka nikawa nawaza kitatokea nini KWA mfano utaamua kudanganya JINA na MAELEZO KITUONI ili kusudi uje ukatae hyo kesi haikuhusu KWA mfano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina kesi ya madai mahakama ya mwanzo- yaani mimi ni mdai. kuna kila dalili ya mimi kushinda hii kesi. sasa naomba kujua 1 Hukumu huwa inatolewa kwa maneno tu au maandishi au vyote. 2 Mdaiwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo. Hukumu imetoka haikuwa upande wangu. nina uhakika asilimia zote mdai wangu ametoa rushwa.sasa nimeomba hukumu pamoja na mwenendo wa kesi ili nikate rufaa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom