Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii. Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HAKI NA WAJIBU WA MUME NA MKE KATIKA NDOA KISHERIA SEHEMU YA 1 Maana ya ndoa Ndoa maana yake ni muungano wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote...
3 Reactions
24 Replies
55K Views
Mwajiriwa aliyefukuzwa kazi kwa kosa la wizi kisha akaenda kufungua mgogoro wa kikazi CMA na kushinda kesi. Je, baada ya hapo anaweza kumfungulia kesi Mwajiri wake kwa kosa la kumchafulia jina?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepitia mengi magumu mpaka napunguzwa kazi. Naenda moja kwa moja ktk mada. Nilikuwa nimeajiriwa katika Tasisiflani ambayo ipo Dunia nzima. Mwisho wangu wa kufanyakazi ilikuwa ni wiki hii...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Baba yangu mdogo alikuwa na mke mmoja na watoto watatu na mjukuu mmoja baba na mke wake walitangulia kufariki, baada ya muda kidogo akafariki mtoto mmoja kwa sasa wamebaki watoto wawili na mjukuu...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Naombeni Msaada wenu, Nimempeleka ustawi wa jamii mwanamke alienizalia mwanangu ili ikiwezekana anipe mwanangu nimlee mwenyewe kwani mazingira anayoishi nae mwanangu hayaniridhishi. Lakini Ustawi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwanamke anapoachika au kupewa talaka kisheria ipo hivi (1) Una Haki Na Mali Mlizochuma Pamoja; Hiki ni kitu cha kwanza ambacho unatakiwa kukifahamu, kuwa kama mkewe una haki ya kila mali...
8 Reactions
38 Replies
7K Views
Msaada wa kisheria nitolewa mahali na kuishi na mwanaume miezi sita kabadilika hataki ndoa tena. Je, tukiachana kijadi nikipata mtu mwingine hataweza nisumbua? Na nifanye nin kuepukana na adhaa hiyo?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi. Baadae mke...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Umbea umekuwa tatizo sugu miongoni mwa wanajamii waishio mitaani kiasi cha kusababisha ndoa za watu kuvunjika na mifarakano kuongezeka. Kwa wana JF wenye uelewa kisheria hili ni kosa ambalo mtu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwenu wasomi wansheria, sijui tofauti ya hizi kesi mbili. Mfano mtu kafoji document ili apate mkopo bank, au auze property ambayo haipo , kwa lugha rahisi amejipatia fedha kwa njia ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mm ni mwajiriwawa kampuni fulani hapa nchini mwajiri wangu ananikata nssf lkn kule hapeleki ni mwaka wa 3 sasa kila nikiangalia salio hamna kitu nifanyeje ili kuhakikisha pesa yangu inafika sehemu...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana Jf, Kwa anae weza nisaidia upande wa mawakili au anae jua mambo ya mahakama, je ni kwa namna gani naweza pata pdf za hizi case files. Kwa mfano ile case ruling ya Bilionea Msuya ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa nauliza kuwa kunasheria ya kumshtaki mtu aliempa mwanachuo level ya certificate mimba? [emoji24] [emoji24] [emoji24]
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Makosa ambayo Watanzania wengi hawafahamu lakini yanaweza kuwatia hatiani kwa mujibu wa sheria 1. Uzururaji 2. Ukahaba 3. Kuumiza hisia za mtu mwingine kwa makusudi 4. Kutukana dini za watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wasalam Bila kupoteza mda nina shangaz yangu anapakana na mama mmoja ambapo kuna ugomv ulitokea na huyo mama kupelekeka kes mahakaman Ishu ilisababishwa na paka wa huyo mama jiran kwenda...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama nimeandika kwebnye title. Ninatafuta mwanasheria atakayenisaidia kupata Residence Permit class 'A'. Mtu mwaminifu atafanya process zote kwa ajili yangu. Pia nitahitaji dependent pass...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salamu waungwa Wana Sheria. Ninaomba msaada wenu ili niweze kumsaidia Baba yangu mdogo tatizo lake linalomsumbua. Kwa miaka 28 hadi anastaafu baba yangu mdogo ametumia jina lake, na ili tatizo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa idadi/akidi ya watu/wajumbe wanaoruhusiwa wakati wa kuamua kesi kwenye baraza la ardhi la kata. Hapa namaanisha ni wajumbe wangapi wanaotakiwa kuwapo kwenye kikao cha kutoa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom