Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba kufahamu sheria juu ya baba muonezi (nimetukanwa na mzazi mbele ya familia na wadogo zangu kwamba mimi ni shoga na matusi kede kede mabaya yani ya aibu yaliyonidhalilisha kwenye familia...
Mimi ni mwajiriwa kwenye shirika moja la kimataifa, hili shirika lilitoa mikataba kwa wafanyakazi , lakini moja ya vipengele havijaorodheshwa kwenye mikataba wala havipo kwenye internal...
Habari za leo wataalamu wa sheria. Kabla sijaandika swali langu, naomba niweke wazi kabisa kwamba mimi si mjuvi wa mambo haya ya sheria. Lakini kama rais mwema, napenda sana kujifunza maswala...
SOURCES OF LAW IN TANZANIA
1. Statutes
A statute may be defined as an express and formal laying-down of a rule or rules of conduct to be observed in the future by persons to whom the statute is...
Habari zenu wakuu?
Samahani moods MSIUFUTE HUU UZI WALA KU BAN.
Mimi nime kuwa najiuliza, kwa Wananchi wa BUHIGWE (kama sija kosea)
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais SAMIA SUHULU HASSAN amemteua DR...
samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua,
Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF.
mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na...
Naomba kufahami haya mtu anapokuwa kwenye Baraza la ardhi la Kata.
i] Kuna idadi maalum ya maswali ya kumuuliza shahidi anapomaliza kutoka ushahidi?
ii] Iwapo mdai/mdaiwa/shahidi anapotoa...
Poleni majukumu humu jamvini.
Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani?
Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa...
Hivi kuna uwezekano wa watu au mtu binafsi kufungua kesi mahakama kuu kuishtaki serikali. Mfano, Waziri wa afya alitamka kuwa serikali haina mpango wa kuagiza chanjo ya korona.
Serikali inaweza...
Habari wadau!
Kuna mpangaji wangu amechukua hatua ya kwenda kushitaki na kuomba muafaka ili arudishiwe kodi yake baada ya wezi kuingia chumbani kwake na kumuibia baada ya kusahau kufunga mlango...
Habari za muda wana jamvi,
Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo.
Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu...
Habari wakuu,
Kuna ndugu yangu alimgonga mama mmoja na gari na wala hapakua na zebra yule mama alivuka tu ghafla, akavunjika mguu akamtibu mpaka akapona lakini yule mama akadai alipwe milion 2...
SHERIA YA MISIBA YA VIONGOZI WA KITAIFA YA MWAKA 2006.
Bashir Yakub, WAKILI
+255714047241.
1. NANI VIONGOZI WA KITAIFA.
Kifungu cha 3, viongozi wa kitaifa ni Rais, Makamu wa Rais, Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.