Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba kuuliza,
Kuna ndugu yangu yupo mahakamani hana uwezo wa kujieleza mbele ya mahakama, je mimi raia wa kawaida nisiye mwanasheria naweza nikamsaidia kumtetea na kumsaidia kwenye shughuli...
Habari wanajamvi.
Naomba msaada wa kufahamisHwa kisheria, nina Ndugu yangu alikua anafanya kazi kwenye mgahawa alikua anaaminika na Bosi wake pamoja na wafanyakazi wenzake,kwa pamoja wakaamua...
Wadau nilikuwa na Kesi ya Ardhi iliyoanzia Baraza la Ardhi la Wilaya hadi Mahakama Kuu kati yangu nikiwa Mmiliki wa Kiwanja kwa Hati Milki ya Miaka 66 na Mdai fidia wa Ardhi iliyopimwa hicho...
Alivuma sana na aliipandisha sana chati CDM. Nikiwa mtanzania nina haki ya kupata habari za uhakika kabisa. Na kwa kuwa Chacha Wangwe alikuwa mbunge wa watanzania wa Tarime kupitia CDM ninadhani...
Wakuu habarini za muda huu.
Naomba kuuliza hivi katika ishu za mirathi endapo marehemu ameacha wosia na katika wosia ule umehusisha baadhi tu ya Mali zake, pia wosia ule ukiwa umetaja msimamizi...
Ni sahihi kuchukua bank statement ya kampuni kinyemela bila kuwataarifu wenye kampuni? Na Je bank statement ya kampuni yaweza kutumika Kama ushahidi wa mtu binafsi na Ikawa tendered na mpelelezi...
Habari Wana Sheria?
Naomba msaada wa kisheria kuhusu kero za serikali juu ya upandaji madaraja( promotions)
Mwaka 2015 mwezi Novemba nilipokea barua ya kubadilishiwa daraja ( promotion)...
Habari ya muda huu wakuu.
Kuna jamaa (Fundi furniture) namdai Sh 700,000/= kama fedha ya advance katika kunitengenezea furniture za nyumbani kwangu ila hakufanya hivyo na tulipelekeshana sana...
SCENARIO [emoji1484]
(A). Tuseme ni Ayuoub( ni mmliki wa nyumba) .
(S).Tuseme ni Salim ( mteja wa nyumba ya Ayoub 2014).
(P).Tuseme ni peter pia nae ni ( mteja wa nyumba ya ayoub 2019 ).
Ayoub...
Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu?
Na...
HABARI WANA JF NAOMBA MSAADA WA SHERIA KWENYE HILI.
Nina rafiki yangu Ni anaishi KAHAMA ni dereva bajaji umri wake ana miaka 25. Wiki mbili zilizopita alipata mteja ( anadai kuwa MTU huyo Ni...
Habari wana JF,
Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu...
Niliondoka kwenda masomoni bila ya kukamilisha ruhusa baada ya mwaka mmoja nikafungiwa mshahara na kutumiwa hati ya mashtaka na baadae nikafunguzwa kazi bila utumishi. Je naweza vipi kurudi...
Wadau wa Sheria, narejea kilicho ripotiwa katika taarifa ya habari ya Itv ya tarehe 17 May 2020.
Kimsingi aliyekuwa DC wa Hai alifungia kiwanda cha uzalishaji wa kiwanda cha vinywaji FARU JOHN...
Habari zenu waungwana?
Niliwahi sikia juu ya sheria kuhusiana na mwanamke ambaye ameishi na mwanaume kwa muda mrefu kimahusiano, kisha mwanaume huyo au mwanamke akamuacha mwenzake baada ya muda...
Habari wadau!
Kwenye ile kesi ya "I can't breath" ya George Floyd Mmarekani mweusi kuna maneno nilikuwa nayasikia ambayo ni 1st degree, 2nd degree murderer na Ferony.
Pia kuna maneno kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.