Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuruthum Omary Kahimba & Rehema Omary Kahimba
vs
Mwajuma Omary Kahimba, Misc Civil Cause No 04 Of 2018
Kwa maneno yake mwenyewe Jaji Ndunguru anasema kesi hii inamkumbusha mistari ya Biblia...
Who is the innocent/bonafide purchaser in Tanzania?
The buyer is an innocent or bonafide purchaser in Tanzania if he had no actual notice, constructive and imputed notice when buying the suit...
Heshima zenu wakuu, na poleni na majukumu ya wiki nzima.
Kuna jambo naomba kujuzwa kuhusu kubadili jina. Hii inatokana na ukweli huu "nilipokuwa std 4 tz nilihamishiwa shule huko kenya ambapo...
Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya...
Kwa Mujibu wa Maamuzi katika kesi ya Bahati Boniphace Kazuzu V. Ruth Alex Bura (HC, DSM,2021)
.
Mahakama imeamua kwamba Mali/zawadi yoyote Anayopewa mwanandoa Kutoka kwa Mchepuko wake itahesabiwa...
Mwafula Dume, 55 ni mfanyabiasha wa samaki waliokaushwa kutoka ziwa la Nyumba ya Mungu lililopo mkoani Kilimanjaro, na kuwasambaza mikoani.
Mbali na kuuza samaki, Dume mwenye wake watatu pia...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 na ni wa mwisho kuzaliwa katika familia yenye watoto sita. Wazazi wetu wameshafariki hivyo tumeachiwa baadhi ya mali ambavyo ni nyumba na mashamba tumegawana...
Habari zenu wakuu,
Naomba kujulishwa natakiwa nifanyeje ili niweze kubadili majina ya vyeti vya kitaaluma pamoja na kitambulisho cha Nida ambavyo vinasoma tofauti.
Mfano mimi naitwa Neema...
KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto.
Kuna wengine...
Mijadala mingi muda hautoshi. Nimeona nishiriki kidogo mjadala wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndg Makonda. Nimeona watu wengi wanajaribu kulijadili jambo hili kwa upambe na...
Habari za kazi,
Naomba kujua hatua gani ya kufuata baada ya kupokea notice of appeal kutoka kwa mtu niliemshinda katika kesi ya ardhi.
Naomba msaada wenu katika sheria.
Samahani jamani nahitaji msaada kidogo juu ya hili.
Tareh 15.08.2022 niliingia katika mkataba wa nyumba ya kupanga ambapo nililipa kodi ya miezi sita na fedha za udalali baada ya hapo ikapita kama...
Habari Wakuu,
Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na...
Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia...
Habari Wana jf.
Naomba kujua sheria inazungumziaje katika hili,
Yani umezaa na mwanamke ila huishi nae na umelea mimba na mtoto kazaliwa,ukalea mtoto Kwa kila kitu Akiwa na mama yake
Akafikisha...
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi.
Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba...
Hbr Wana JF
Mimi ni mjasiliamali, najihusisha na ununuzi wa mashamba kisha huwa nakata viwanja.
Mwaka 2020 nilipata dili ambalo kiujumla ndio ilikuwa dili yangu ya kwanza kubwa, kuna jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.