Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu kuna ndugu yangu anashida ya kujua ni utaratibu gani unatumika kubadili au kufuta details za NIDA ili afungue na kuweka details zingine katika kitambulisho cha taifa.
Asanteni
wataalamu wa sheria naombeni mnifahamishe hii imekaa vipi!?
huyu binti alishirikiana na mganga kumuua mama yake na kuufukia mwili wa mama yake nje ya nyumba yao,alikamatwa na polisi walifika...
Hivi file linaweza likapotea mahakamani na kama halionekani hatua gani inafata?
Kwa kifupi Mama yangu alikua ana kesi yake ya nyumba takriban imeenda miaka Tisa na mwaka jana mwezi wa tisa...
MABADILIKO MAPYA YA SHERIA, BILA UPELELEZI KUKAMILIKA HAKUNA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI.
Na Bashir Yakub. WAKILI.
+255 714 047 241
Mabadiliko muhimu ya Sheria yanakuja kupitia muswada wa...
Wakuu Habari Ya Mawio.
Wakuu Neno Nolle Prosequi ni neno la kilatini linalomaanisha hati ya kisheria ya nia ya kutoendelea na mashtaka dhidi ya mtuhumiwa Yaani To be unwilling to pursue
Sasa...
SIKU YA VIJANA DUNIANI IWE CHACHU YA KUZITAMBUA, KUZIANISHA NA KUPINGA SHERIA ZINAZOMINYA DEMOKRASIA YA UCHAGUZI KWA VIJANA IKIWEMO VIJANA WENYE UMRI KATI YA MIAKA 18-21 KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE...
Kwenye sheria kuna objections (mapingamizi), kama ukikosea au ukishindwa kufata utaratibu wa kufungua kesi au kuwasiliana na Mahakama, basi unaweza kukumbana na pingamizi ambalo litapelekea kesi...
KESI YA MIRATHI ILIYODUMU MAHAKAMANI KWA MUDA WA MIAKA 30: Kwa nini hii kesi ilichukua muda mrefu hivyo kuisha?
(Na hadi sasa haijaisha, kwa sababu aliyekuwa msimamizi wa mirathi kwenye hii kesi...
Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua...
MALI ZA MTU ALIYEPOTEA ZINAWEZA KUGAWIWA KWA NJIA YA MIRATHI.
Ikiwa ndugu yako, mme, mke, mtoto, kaka, dada nk.amepotea kwa kipindi cha Miaka 7 na hakuna taarifa zozote kujua aliko, basi...
Habari wakuu.
Nimeajiliwa kwenye kampuni flani Kuna kosa lilitendeka likafanyiwa uchunguzi na nikaitwa kwenye kamati ya kikao cha nidhamu yenye wajumbe 6 waliokiwepo kwenye kikao hicho, lakini...
Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwa mada.
Je kesi ikifutwa chini ya kifungu namba 255 kwa sababu ya kukosekana kwa ushahidi, je statement/s iliyokuwa imeshapokelewa na Hakimu kama...
Leo tuangalie kama copy (nakala/vivuli) vinaweza kupokelewa na kutumika kama ushahidi Mahakamani. Au, je ni lazima upeleke original tu?
Kiujumla, ushahidi wa nyaraka (documents) unaweza...
Iko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa...
Wanajamvi naombeni msaada wenu wa kisheria katika hili.
Iko hivi nina mdogo wangu wa hiari (tumekutana kazini sina vinasaba nae) mnamo mwezi wa nne alisimamishwa kazi.
Hivyo kutokana na...
Wapendwa naombeni msaada wa kisheria
Binti yangu kapewa ujauzito na mwanafunzi mwenzie wanayesomanae kidato cha 3 baada ya kumuuliza akamtaja huyo kijana nikamchukua binti mpaka shuleni...
wakuu naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya huyu mdogo angu ambae ni muajiriwa wa taasisi ya umma, alijaza mkataba wa mkopo kutoka taasisi fulani na maafisa wa iyo taasisi akaambiwa kipengele cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.