Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
0 Reactions
2 Replies
926 Views
MHE. DAMAS NDUMBARO - BAJETI WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI TSH. BILIONI 383.6 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), leo Bungeni Jijini Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Persecution: Hostility and ill-treatment, especially on the basis of ethnicity, religion, or sexual orientation or political beliefs. My motto always ni to each his / her Own - Sitaki kujua wala...
9 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwasasa Mahakama zinatumia mbinu mbalimbali KUPOKA HAKI za Wananchi Jambo ambalo kama halitatafutiwa DAWA basi tukubali BAADHI ya Mahakimu wasio waaminifu kuendelea KUPOKA HAKI Kwa manufaa Yao...
0 Reactions
0 Replies
483 Views
1: QUALIFICATIONS ZA KUWA MKURUGENZI WA KAMPUNI (DIRECTOR): Sifa (qualifications) za kuwa director wa kampuni zinapatikana kwenye Sheria ya Makampuni ya Tanzania (the Companies Act), ya mwaka...
7 Reactions
0 Replies
2K Views
Habazi za mchana waungwana wa JF? Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Waungwana nimependa kuleta huu uzi mzuri kwenu nyie kwa lengo la kuwasaidia vijana wenzangu kuhusu suala la...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimekuwa natafakari sana, na nimekuwa nasoma maandiko mbalimbali kuhusu kesi ya Babu Seya, mengi yamesemwa, mengi yameandikwa. Swali langu ni kwa hawa mashahidi waliojenga hoja kwa upande wa...
1 Reactions
5 Replies
678 Views
Waheshimiwa, Kaka yangu amehustle akiwa single, Akanunua kiwanja, Akaanza ujenzi mpaka kukamilisha foundation. Akawa anaendelea kusevu ili ainue boma. Kabla hajakamilisha boma, akaingia kwenye...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna kesi nyingi zinazohusu hii mada. Tuanze na kesi ya PHILIPO JOSEPH LUKONDE Vs FARAJI ALLY SAIDI, LAND REFERENCE NO. 01 OF 2020. Uchambuzi wa hizi kesi unaletwa kwako nami Zakaria Maseke -...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa...
1 Reactions
16 Replies
878 Views
Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu ku-adopt mtoto yatima awe wangu kabisa nimlee, kumsomesha na kumfanyia yote anayostahili kufanyiwa mtoto! Sasa naona nina uwezo na muda wa kuitimiza ndoto...
1 Reactions
91 Replies
31K Views
Ikiwa mtu alikuwa akifanya kazi mahala bila kuandikishwa Mkataba, kisha akasimamishwa kazi. Je, anaweza kuchukua hatua yoyote ya kisheria dhidi ya uamuzi huo?
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Naomba kujua ni haki kweli kwa shule kuongeza ada katikati ya mwaka. Maana nina mdogo wangu anasoma Kidato cha Sita, ada imekuja kuongezeka katikati ya muhula wa pili kufikia kidato cha sita
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rafiki yangu anayefundisha idara ya muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu. Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwenu wajuvi wa sheria za biashara. Ninafanya biashara ndogo ya kuuza na kununua simu used, zilizotumika hapahapa jijini Dar almaarufu simu za mkononi.. Changamoto kubwa kama mjuavyo huwa kuna...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Kwa wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hii sheria inayohusiana na service levy. Je ni nani ambaye anaingia katika kundi la kulipia hii service levy katika halmashauri...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Habar wana jukwaa, Naomba kujuzwa au kupewa mawazo ya kisheria juu ya adhabu ambayo inaweza pewa hospital kwa kutumia vyeti na leseni ya mtu kwa kufoji mkataba na sign yake ili ionekane mtu yupo...
2 Reactions
8 Replies
589 Views
Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Back
Top Bottom