Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Ndugu zangu naombeni ushauri,ndugu yangu amesababisha ajali ya basi na imeua mmoja,baada ya ajali alikimbia hadi sasa ila anatafutwa na polisi na basi lipo kituoni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna thread ipo jukwaa la habari mchanganyiko,huko Morogoro mikese kuna mtoto wa miaka kumi na nne amelawiti watoto wadogo yani wadogo zaidi yake.Swali langu ni je sheria inasemaje mtu wa umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za majukumu wana jamii forum; naomba ushauri kadri inavyowezekana, mm ni mtaalamu wa miamba yaani mjiolojia nilipata mteja akiomba kuandikiwa ripoti ya kijiolojia katika eneo lake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Binafsi naishi nyumba ya kupanga uswahilini na nimegombana na wenye nyumba, wamenikatia umeme kwenye vyumba vyangu, je nitawezaje kupata tena umeme kumbuka mkataba unasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Do we have any Renewable Energy Law that is intended to improve the country’s energy security as well as to promote renewable energy generation in Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
756 Views
kwa mtu anayefahamu jinsi ya kusajili taasisi ya fedha tanzania naomba anifahamishe.natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Ndugu, Ningependa kujua kama kuna yeyote anafahamu juu ya HUKUMU ILIYOTOLEWA JUU YA MITA ZA MWISHO YA "MOROGORO ROAD" ESPECIALLY MAENEO YA KIMARA HADI CHALINZE.....Thanks.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wadau wa Jf naomba mniweke sawa hasa katika masuala ya kisheria kwa mtumishi wa uma anapopata matatizo ya kiafya akiwa kazini. Nina mdogo wangu ameajiriwa halimashauri ya Masasi, Mtwara...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila. Picha ya Maktaba KWA UFUPI Kesi hiyo imefunguliwa na IPTL ambayo ni mdai wa kwanza kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa Samahanini nina ndugu yangu anaishi Tabata maisha yao yahali yachini sasa wamejimake make wakabadili bati wakaeka msouth Cha kushangazwa eti wameletewa barua waende kujieleza...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Naitaji msaada wa sheria za mifuko ya jamii ikoje mwajiri wangu anakataa kusaini form za nssf na kuzuia mafao yangu nisipate Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mama yangu amefanya kazi kama mwalimu wa awali kwa miaka 19 akiishi eneo la shule ilipo.Amepaendeleza na kupaboresha. Hakuwahi kupewa likizo wala pesa zake hazikuwahi kupelekwa mfuko wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada: Mdai akipata ruhusa ya mahakama baada ya certification of point of law, ni muda gani (time limit) anapewa kisheria ili alodge appeal.Sasa ni mwaka tangu mdai huyo apewe leave to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jf ni kwa magreat thinker wenye tafakuzi mujarabu naamini hapa wanasheria wamejaa na wanao weza nisaidia kwa hili: 1.Nimedhamilia kukifungulia kesi hiki chama cha CCM kwa kutusababishia umasikini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ninatafuta wakili yoyote mzuri atakayeweza nisaidia kusimamia kesi dhidi ya Barclays Bank. Nikiwa kama mwajiriwa wa serikali nilichukua mkopo Barclays mwaka 2012 kama Premier member. Baadaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari, niliomba ruhusa kwa mkuu wangu kwa njia ya simu kwani shule ilkuwa imefungwa. Nilikaa muda wa wiki 1 lakini kabla ya kurudi shule nliambiwa ile nyumba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni ushauri jamani nimefanya interview katika company fulani nimekubaliwa ila nahisi kuna utengenezwaji wa rushwa ili niingie kazini sasa nishaurini nifanyeje? Na kazi naitaka nitumie sms...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MKURUGENZI wa Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amesema adhabu ya kunyongwa inachangia kupoteza nguvu kazi nchini. Sungusia alitoa kauli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima mbele sana wakuu. Kama ilivyoelezwa kwenye kichwa cha habari hapo juu, naomba kujuzwa utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili kuweza kusajili eneo ambapo tayari kuna nyumba na watu wanaishi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…