Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wajuzi wa sheria naombeni ushauri wa haraka, bajeti imepitishwa jana moja kati ya vitu vilivyopitishwa ni kuondoa nafuu ya kodi ya magari yenye umri chini ya miaka kumi na kwasasa nafuu hiyo...
Japokuwa wanasema kutokujua sheria sio excuse ya kufanya makosa lakini hebu check hizi hapa chini zote ni sheria zinazotumika hapa Tanzania utazijua saa ngapi?
LAWS OF TANZANIA
TABLE OF...
Mpangaji mwenzangu alilipa kodi ya miezi sita, kumbe pale kuna mauzauza kibao yani uchawi. Suspect ni mwenye nyumba madharau, matusi kibao na vijana wake baada ya huyo mpangaji kuyasema bayana...
Hello Members!
I had a contract for renting a house and I paid a rent totaling 2,100,000/= TShs. to rent a house for six months at 350,000/= TShs. per month. Before moving into the house my...
Habari zenu ndugu zangu nilipata mkataba wa kazi katika kampuni fulani miezi 6 iliyopita lakini mwezi mmoja kabla ya kuanza kazi nikapewa barua ya kuvunja mkataba.
Je,kuna compasation yoyote...
Habarini za kazi! Tafadhali naomba msaada kwa yeyote ambae anaefahamu amendments zozote zilizofanyika katika sheria hii ya ajira naomba anifahamishe.
Asanteni.
Ndugu yangu kapata ajali ya gari akiwa yeye peke yake pasi na kusababisha madhara kwa mtu yeyote, lakin traffic wamekuja na kutaka chochote wakidai hii n kesi.
Naomba msaada kwa anaejua kuhusu...
Habari wana jamii?
Nilitofautiana kauri na mtoto wa bosi, baada ya hapo nikaandika barua ya kuomba msamaha. Cha ajabu boss anataka niandike barua ya kuacha kazi!
Naombeni msaada wenu jamani...
Wadau jana niliomba nipatiwe kwa alienacho katika thread flani hapa, leo naona nianzishe uzi kabisa ili kwa alie na document inayoeleza full practices za barabarani anipe, sheria zinazomlinda...
Kwanza nawasalimu wote. ndugu zangu naomba ushauri wenu hivi kuna ndugu yangu alikuwa anafanya kazi kama mlinzi mali asili. Ila mwaka jana alishitakiwa kwa kuiba jenereta la ofisi.
Alipopelekwa...
Wadau mwenye data za huyu jamaa! Maana fb shule zake ni Uganda, na sioni kama alikuwa na uzalendo. Je kama ndiyo ma jaji wapo hivi nchi inaelekea wapi?
Mkurugenzi wa teknolojia ya habari na mawasiliano wa mamlaka hiyo, Dk Joseph Kilongola.
Dar es Salaam,
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu...
Wakuu habari zenu,
Naomba kwa anayejua anifahamishe,
Je, kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa ya uhalifu wa kimtandao?
Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka...
Kama destiny ya Elizabeth Michael na Cyntoia Brown zinafanana.
Hakuna stori mpya kwenye kesi inayomkabili msanii wa maigizo Elizabeth Michael, zaidi ya duwa na sala zetu usiku na mchana katika...
CASE OF SPELUNCEAN EXPLORERS
The case is based on a statute N.C.S.A (N.S.) which states in specific terms in Section 12-A that ‘Whoever Lawfully Takes The Life Of Another Shall Be...
Wanabodi,
Tangia Jumamosi tar.14 hadi Jumanne tar.17 mtandao wa M-PESA haukuwa unapatikana nchi nzima, hivyo basi kuna hasara kubwa iliyopatikana.
Kwa mfano mfanyabiashara anategemea kutimia...