Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa.
Alikaa huko wiki mbili maana...
Ndugu zangu napenda kusaidiwa, hivi hela anayoombwa mtu kipindi anapoenda kuomba barua ya utambulisho kutoka ofisi ya serikali ya mtaa au mjumbe wao wanaiita "HELA YA MUHURI".
Hii kisheria...
Wakuu heshima kwenu nyote. Nimechomolewa waleti yenye Driving license, ATM card, vitambulisho vya kazini na hela. Msaada niuombao ni nianzie wapi ili niweze kupata hivi vitu vyangu?
Wasalaam,
Ntu
Mimi ni mwalimu wa sekondari, mkuu wangu wa shule amenipa barua kuwa hatanipa majukumu yoyote na anapanga kuniharibia kazi.
Nimemwona headmaster katika shule fulani amemwandikia barua mwalimu...
Habari wana JF,
Naomba kusaidiwa endapo ikitokea mtu amepoteza au ameibiwa hati yake ya nyumba au imeungua na moto, je baada ya kutoa taarifa polisi na kupewa loss report je akienda ofisi za...
Ndugu zangu JF,
Rais JM Kikwete alipoteza haki yake ya kuwa Rais wa JMT mwaka 2010 baada ya Zanzibar kubadili katiba yao. Anastaili afunguliwe mashtaka kwa kuvunja katiba ya JMT.
1. Aliapa...
Y amegombana na X. Katika ugomvi wao Y amemtishia X kumuua, katika kuhofia usalama wake X akaamua kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa kuwa Y ametishia kumuua. Y akaitwa kituo cha polisi na...
Mimi ni mtumishi wa serikali ajira mpya, mpaka sasa sijapata mshahara na nilitumia acount ya CRDB,NMB wanasema wametuma pesa kwenda CRDB tangu tarehe 27.05.
Je naweza kuwashtaki CRDB kwa kukaa na...
Mwaka jana mwezi August-September nilikuwa nahitaji fundi wa kupaua nyumba yangu, kwa bahati nzuri jirani yangu alikuwa anamfahamu fundi fulani nikachukua namba yake ya simu nikamuita.
Baada ya...
Habari zenu wakuu,
Ninaomba kujua legality ya state attorneys na city solicitors kuapisha watu, 'kufanya attestation', are they commissioners for oaths?
mama yangu na baba yangu wanakesi ya talaka mahakaman.baba alimtelekeza mama na kuishi na mwanake mwingine.mama hakuolewa.baba ni mstaafu,alipostaafu alinunua baadhi ya mali na sasa kesi imefikia...
Naomba mwenye kesi au taarifa ya judge yeyote ambaye alifukuzwa kazi ya ujaji kwa kukiuka sheria na maadili ya utumishi au kwa interest za Mh. Rais tangu tunapata uhuru.
Nimesoma kupitia kurasa za michezo kwamba eti katiba za soka (vilabu, shirikisho na FIFA) zinakataza masuala ya soka kupelekwa mahakamani ilihali
Katiba ya nchi (JMT) inasema kwamba Mahakama...
Ndugu wanajamii.
Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written?
Pili huwa...
Habari zenu wadau!Natafuta msaada wa kisheria katika masuala ya bima.Nahitaji kufungua kesi kuishitaki kampuni moja ya bima kwa kutolipa madai yangu na kukaa kimya bila kujibu madai yangu,tatizo...
Mwaka 1 na miezi kama 8 iliyopita kuna jamaa yangu aliibiwa pikipiki yake ila kwa bahati nzuri alikua amekatia ile bima kubwa, hivyo akafanya process zote kuanzia polisi mpak bima kwenyewe.
Bima...
Habari zenu wana JF!wiki iliyopita nilipata ajali maeneo ya Tabata, sasa tulienda police tukafungua jalada na likapelekwa mahakamani. Nina hitaji kulipwa kutoka insurance ila nimeambiwa natakiwa...
Wanaforum tafadhali mwenye ujuzi na hii sheria anisaidie hili swali hapa chini.please.
John and Steve formed a private company in the early January 2013. Unfortunately ‘John' was involved...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.