Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari ndugu, jamaa na marafiki wote humu.
Leo nimeona niwe mkweli na muwazi ili kuepusha matatizo ntakayoyapata kama nisipouliza hili jambo. Kiukweli mimi jamani sijawahi kununua kiwanja...
Wanajamvi,
Naomba mwongozo hapa. Nimesoma mara kadhaa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii kuwa watu wamefumaniwa na wamepelekwa polisi kwa ajili ya kufunguliwa mashtaka. Naomba niulize maswali...
Wanajamii forum,naombeni kuuliza.Km mtu unataka kuandika barua ya kuacha kazi na mshahara huwa nalipwa tarehe 24.Je,barua naweza kuipeleka kwa mwajiri wangu tarehe 23? Au ni 24? Kwa malengo...
Nilimpa pesa mfanyakazi mmoja wa wizara fulani ili anisaidie kupata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
Sasa ameshindwa kufanya hiyo kazi na hataki kurudisha pesa,
je naanzia wapi...
Salaam kwenu wana jukwaa hilii la sheria nimekuja kwenu kwa mara kwanza kabisa nikiomba msaada wenu wa kisheri kuhusu halmashauri inapo pitisha sheria ya kudai kodi kwa wakulima wadogo wa vijijini...
Nimesikia mara nyingi kuwa 'vijana waliohitimu kidato cha sita wanajiunga JKT kwa mujibu wa sheria', sasa nauliza ni sheria ipi hiyo na matakwa yake ni yepi ?
Nimenunua eneo la ardhi, aliyeniudhia hilo eneo ni mwanaume mbele ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa , kabla ya mauziano hayo niliulizia kuhusu umiliki wa eneo nikadhibitishiwa kuwa ni lake na...
Naomba nieleweshe vizuri kwanini yule mtuhumiwa alishika jana bendera ya taifa pale mahakamani Mwanza hakuweza kupigwa wala kufunguliwa mashtaka?
Naomba msaada kIdogo kwa hilo
One and probably the MAJOR source of laws in Tanzania is the constitution of the united republic of Tanzania of 1977 as amended from time to time. Tanzania is now in the process of making new...
Wakuu naomba tujadili hili. Kwenye kikaokinachoendelea cha bunge la katiba zililetwa nyaraka za kughushi kama hati ya muungano. Hivi baada ya kuoneka kama ni nyaraka feki, mbona hakuna anaeongelea...
Kuna mzungu aliajiri watanzania wengi kwa mikataba ya kudumu kwa sheria za Tanzania anataka kuivunja na kulipa stahiki za wafanyakazi wote. Tunaomba msaada wenu kisheria Je tunastahili kupewa...
Juma, Bakari, Asha and Rahma are sitting near one cafeteria at Dar es salaam preparing to take brake fast.
Jamal, Ashas ex-girlfriend walks by holding an empty bottle of beer. He advances...
KUNA BWANA AMENITAPELI MIL.3,NIKAMPELEKA MAHAKAMA YA MWANZO SINZA AKASOMEWA MASHTAKA AKAKIRI NI KWELI,AKAAHIDI KULIPA NDANI YA MWEZI AMENIPA MIL.1.8 BADO MIL.1.2,TUNASUMBUANA SAANA.ALIKIRI KUWA...
Mimi ni dereva wa UDA.kwa niaba ya wenzangu nimeona nijitokeze ili tupate msaada wa kisheria kwa mambo yafuatayo (1)Tunaendesha magari kwa saa 18 mfululizo siku mbili halafu unapewa siku moja ya...
Habari JF,
Kati ya Julai 11 na 12, 2012 Mwenyekiti wa Baraza la Madaktari la Tanganyika (Medical Council of Tanganyika) Dkt.Donan Mmbando alitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari kuwa...
Nimesoma hizi habari nikawa najiuliza hivi hata kwetu Tanzania sheria zinazuia askari wa kike kuwa na mvuto?
Linda Okello, the Kiambu Police Woman with "tight up skirt" to face disciplinary...
Wadau humu ndani nisaidieni. Nimeanzisha day care centre kusaidia wamama wanaosumbuka na mahala pa kushinda watoto sababu ya matatizo ya maisha na lengo lingine kufundisha wasichana maadili...