Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

wanaofahamu wanijuze sheria za barabara zikoje trafic police akikukamata na kosa
0 Reactions
1 Replies
5K Views
si mtaalam wa mambo ya sheria ila nimetokea kuifatilia kesi ya mwanariadha wa south africa anayetuhumiwa kumuua kwa kukusudia gf wake reeva steenkamp. hivi siri kubwa ya pistorius kushinda hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya mashirika ya umma hapa nchini yenye ufanisi wa chini na utendaji unaoshangaza ni idara ya ZIMAMOTO (FIRE BRIGADE).Ikitokea tukio la moto ndipo utakapowashangaa ZIMAMOTO,kwanza watachelewa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenzenu ni mwanachuo, nasoma sheria, na sisi ndiyo wa kwanza kuanzisha faculty hii hapa chuoni, hivyo hatuna msaada sana, Hivyo basi nitawasumbua sana naomb msichoke. tatizo langu kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
hi, mi nna swali - nahitaji kufahamu WHAT ARE GROUNDS OF APPEAL? Anaye fahamu anifahamishe pls
0 Reactions
1 Replies
912 Views
wakuu nimeanzisha uzi wa kutoa darasa la masuala ya jinai karibuni kwa maswali na mjadala kwa ujumla.
0 Reactions
21 Replies
6K Views
msaada juu ya hili, je kuna uhalali wa vikao vya bunge maalum la katiba kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kutoka? na kama kuna uhalali, sharia inasemaje kuhusu waliotoka? na kama hamna uhalali...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfanyakazi afanye nini kupata hakiyake anapoachishwa kazi wakati mwajiri hajapeleka michango mf.nssf kwa miaka mingi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wapendwa mimi nipo macho, mwanangu mida ya saa saba amepata homa kali sana nimempima akawa 39 nimempa dawa ya kushusha joto afadhari sasa nangoja asubuhi nimpeleke kwa dk koja kinondoni ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Who will arrest the decline in image of our policemen? Being a police officer in East Africa has never been easy. But when the media aims directly at you, when...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Greetings to all great thinkers!!! Nahitaji kuanzisha kitu kama kampuni au shirika fulani hivi kwa ajili ya ukopeshaji wa mikopo kwa wanajamii, naomba yeyote anayejua taratibu zinazotakiwa...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
please nisaidien, what are the types of style of judicial opinion?
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Wenye habari zaidi ya nini kilichomsibu dada huyu mpole na mwenye umri mdogo hadi kuletekeza kifo chake atusimulie pls!
0 Reactions
13 Replies
5K Views
The Open University Of Tanzania has been ranked as the best Open & Distance Learning (ODL) University in East and Africa at large. Source: Germany Investigation Co-operation.
0 Reactions
0 Replies
690 Views
S.8 of the Penal Code CAP 16 R.E.2002 talk about ignorance of the law nat to afford any xcuse fo any act or omission wich would otherwise constitute an offence....this has no problem with me.....I...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Kwanza salaam. Nilinunua laptop tar 31.1.2014. Arusha mjini na nikapew warranty ya mwaka mmoja. Baada ya kuitumia kwa miez 2 imekufa spika nikaipeleka tar 10 mwez huu, wakaniambia baada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi nimeajiriwa katika kampuni ya wahindi. Nina ajira nao ya kudumu (permanent) huu ni mwaka wa 3 sasa. Juzi niliumwa sana nikaenda hospitalini. Baada ya vipimo dr anasema nahitaji vipimo zaidi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu salama humu naomba mnijuze ni taratibu gani za kufuata wakati wa kununua ardhi ambayo haijasajiriwa au inayomilikiwa kimila (yaan haina hati) maana land act haijazungumzia utaratibu kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ikiwa rasimu ya katiba ikajadiliwa katika bunge maalumu la katiba, kisha ikakubalika na kupitishwa ili ije kwa wananchi kwa ajili ya referendum, na pia katika referendum ikapita kwa kura nyingi...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Mim nina biashara zangu ninazofanya kama shughuli ya ziada ya kujiongezea kipato, kuna mtu alikuja na kuchukua vitu vyenye thamani ya tsh 400000 mwezi wa 12 mwaka jana na makubaliano ilikuwa alipe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…