Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Leo asubuhi katika kipindi cha tuongee asubuhi Star Tv, nimemsikiliza mwanasheria mmoja akitetea serikali 2 nchi 2 Tanzania. Kwa kweli huyu jamaa anatiashaka amepata wapi taaluma ya sheria alikuwa...
Na KENYA NEWS AGENCY
Imepakiwa - Monday, April 14 2014 at 17:12
Kwa Mukhtasari
Mwanamume mwenye umri wa makamo, amesukumwa jela kwa miaka 15 na mahakama mjini Iten, kwa kumwambukiza mwanamke...
It was obvious evidenced by those who was following the const'n bunge where the ssm wajumbe from zanzibar they were saying with all confidences trying to confront the tanzanians from zanzibar...
Usiku wa Kuamukia leo Askof Mulilenge Mkombo wa Kanisa la House of Prayers Boko Magengeni DSM amevunja Duka la Mama Abeid na Kuchukua mali za duka.
Taarifa zina onyesha kwamba Mama Abeid ni...
In Tanzania, sex acts between men are illegal, and carry a penalty of Life imprisonment. Sex acts between women are not mentioned in Tanzanian law, though the autonomous region of Zanzibar...
Mimi ni kijana wa mwisho ktkt familia ya watoto 7 wakike wa tatu wa kiume wa 4, wakubwa zangu wote wana miji zao, 2 liobaki wawili tunalingana tofauti ni miezitu.Ukweli mi ninapendwa sana na baba...
Naomba nianze nukuu mbili za waziri mkuu mstaafu EL alizotoa bungeni wakati akichangia repoti ya iliyokuwa kamati teule chini ya uenyekiti wa mtunzi wa kitabu cha "Pepo ya Mabwege" ndg. H...
Habari WanaJF,Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Mimi ni mhitimu kutoka chuo kimoja hapa nchini.Nikiwa likizo ya mwaka wa kwanza nilienda likizo kijijini kwetu,kule nilikutana na mdada katika...
Sometimes is difficult to believe what is happening in this world. What should we call this?
A nine-month-old boy has appeared in court in Pakistan on charges of planning a murder, threatening...
Jamaa yangu kapigwa fine hii jamani, hivi uchakavu wa seat cover nao ni kosa la barabarani kweli? Trafic police huyu mie kama sijamwelewa hivi.Tujuzane tu ili na wengine tutie maji, coz mwenzetu...
Wapendwa salaam.
Naomba msaada wenu,katika hili ruling imetoka,hivi .respondent shall have his costs,order accordingly,nini kinafuata, na documents zipi zinztakiwa ili kupata gharama za kesi...
09/04/2014
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi, Morogoro
KATIBU wa Taasisi na Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, ameendelea kusota rumande hadi pale jalada la kesi yake litakaporejeshwa...
Watch live: Oscar Pistorius murder trial
Follow events from Pretoria, where Paralympic athlete Oscar Pistorius is giving evidence in his murder trial. Proceedings are scheduled to begin at 8.30am...
Learned brothers and sisters naomba ambae ana link ya case hii online ya "Concordia Trading BV Vs Richco Int. Ltd (1991) Vol. 1 LLR" anijuze. Pia kama una details za case hii unijuze
Kuna mtu mmoja alifoji saini ya bosi wake ili aweze kujipatia fedha.
Taasisi hiyo ikachukua hatua ya kumfukuza kazi....lakini nimesikia kuwa wamemfungulia mashtaka kwa kosa hilo hilo.
Je hapa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, juzi tarehe 6.4.14, katika maeneo ya Mutukula (upande wa Tanzania), mpaka unaozitenganisha nchi za Tanzania na Uganda, kulizuka taflani ya aina yake baada ya...
Habarini wadau wa sheria
Ni kesi ya kiwanja na waliokabidhiana wote ni marehemu...walikabidhiana kwa maandishi miaka ishirini na tano iliyopita but hilo karatasi lilichukuliwa na mke wa marehemu...