Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nianze kwa kuwaita akina Peter E. Mselewa na wazoefu woote wa mambo haya. Ni hivi ndugu yangu alimkopesha rafiki yake 3m na dhamana ilikuwa gari yenye thamani zaidi ya hiyo na ilipaswa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
797 Views
Nimekuwa nkiangalia hili tukio la wema kuvamia ofisi za Global publishers, na chamsingi labda watu wa sheria wanisaidie sheria inasemaje kama umeandikwa na chombo cha habari na hujaridhika na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika, Napenda kujua hatua gani naweza kuchukua juu ya Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa Mafao ya uzeeni PSPF juu ya kuchelewesha mafao ya uzeeni. Mimi nimependa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatoa mafunzo ya biashara kwa vijana mbalimbali. Tuna kampuni na leseni halali ya kutoa mafunzo haya. Tunafikiria kuanza kutoa "Certificate of attendance" kwa wahitimu. Je taratibu gani za...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Natumaini humu jukwaani nitapata ushauri nini cha kufanya, Sisi baba yetu alifariki dunia mwaka jana mwezi wa nne,sasa kwenye bank ya NMB walituambia baada ya kufuatilia mirathi mahakamani mje...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Mimi nasoma chuo kikuu hapa Tanzania. Mwaka jana mwezi wa tisa nilinunua plot lakini niliporudi chuo ndugu zake na muuzaji ambao ni wa kike walienda mahakamani wakidai mimi na mwenyekiti wa mtaa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya stori kuenea kwamba Mwigizaji RAY anahusika moja kwa moja na kifo cha mwigizaji STEVEN KANUMBA, mwigizaji huyo amezungumza yafuatayo kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM. Amesema "Nimekua...
1 Reactions
146 Replies
29K Views
how far is the doctrine of constitutionalism reflected in Tanzania?
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Msaada wa kesheria-Kukosekana hati halisi za muungano kunashiria nini kisheria?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wadau! Kuna mwanamke mmoja nilishawahi kuwa nae kimapenzi na baadae bahati akapata mimba, tukapata mtoto mmoja. nikajaribu kumweka ndani awe mke wangu, tulikaa miaka miwili pamoja, alikua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kutoka kwa maafisa mbalimbali ya kwamba kuna mabadiliko yalifanywa kwenye Public Service Standing Orders, 2009, mabadiliko hayo yanaruhusu watumishi wapya kulipwa posho ya siku...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
habari wana jf Mimi nikuwasuspended from job for unknown period. Je naweza nikarisign?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kama kuna Barristers Lawyers hapa Tanzania na ni nani?
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Msaada wana Jamvini Mimi ni mfanyakazi wa taasisi fulani hapa Dar. niliaanza kazi tarehe 01/04/2013 mwajiri wangu hakunipa mkataba wowote wa maandishi.. lakini baada ya miezi 3 akanipandishia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba kujuzwa tofauti kati ya hakimu mkazi na hakimu mfawidhi na hakimu wa kawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilimsikia Jaji mkuu akieleza kuwa wanaompango wa kufuta kesi zote zilizozidi miaka 2 hata kama ni za jinai!hii ikoje?Je imeshaanza kutekekezeka? Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF - Hii imekaa vipi Jamani.... Hili hapa ni kosa alilofanya, kanuni aliyovunja na adhabu yake - Kosa -Kwa kujibu hotuba ya Jaji Warioba badala ya Kuzindua Bunge kama ratiba ilivykuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote. Namuomba yeyote mwenye soft copy ya CONSTITUTIONAL REVIEW ACT CAP 83 (R.E 2013) anisaidie kuipost hapa it is urgently needed. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Habari wana jamvi,,,nnimeacha kazi,nitachukua muda gani kupata pesa zangu za nssf
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kiwanja changu hakijapimwa lakini mwenyekiti wa serikali ya mtaa ameamua sehemu ya kiwanja change kuwa barabara labda sababu nimechelewa kujenga, naomba ushauri katika hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…