Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za usiku huu wanajamvi. Leo nimetokelezea huku naomba msaada wa haki ya maternity leave.
Ipo hivi nina rafiki yangu wa kike kapata kazi Mwanza Idara ya (ni lawyer by profesion from Law...
DPP AMEMFUTIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA MMILIKI WA JENGO LILIOANGUKA MTAA WA Indira Gandhi Jijini Dar, RAZA HUSSEIN RAZA AMBAPO KESI HIYO ILIKUWA IMEWAPA DHAMANA NA BADALA YAKE AMEMFUNGULIA KESI MPYA...
Wadau wa sheria naomba mnisaidie katika hili:
Sheria inasemaje kuhusu kupiga picha kwenye maeneo ya wazi (public).?
Miezi michache iliyopita nilienda kijiji fulani,na kubahatika kuhudhuria...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi...
Wanajamvi naomba mwenye uelewa wa hii kitu, hati ya onyo kabla ya kumshitaki mtu, je Sheria inasemaje na je ikawa umemshitaki mtu bila hii kitu what is the implication?
Wakuu nataka kubadili majina yangu ya kati na mwisho. Niko Tanzania. Naomba maelekezo ni hatua zipi za kisheria za kupitia ili nisije sumbuka huko mbeleni kama viongozi wa serikali yetu...
NIMESHAPELEKA PROPOSAL NYINGI SANA KATIKA MAKAMPUNI BINAFSI, TAASISI NA MASHIRIKA YA SERIKALI, LAKINI MAJIBU NINAYOPATA NI "IDEAS ZAKO NZURI BUT HATUNA HELA AU SUBIRI" kinachonisikitisha ni...
Learned Brothers,
Ni kwa muda sasa nimekuwa nikiona udhalilishaji wa wazi wazi ukiendelea na kudakwa na magazeti pendwa kwa wingi ili kuuza na kujipatia fedha bila kujali damage inayoachwa kwa...
Umefika wakati uvumilivu sasa basi! Tumeshuhudia/tumesikia Watumishi kujinyonga kwa maisha magumu(hasa walimu), Wananchi kujinyonga kwa maisha magumu, Wanafunzi kujinyonga kwa matokeo mabaya wala...
samahani wana JF naomba ufafanuzi wa kisheria kwa anayejua naweza kumfungulia mashitaka polisi akiwa na dalili za mtu aliyetumia kilevi na hasa pombe akiwa kazini na huku akiwa amevaa nguo za...
Katika mahakama ya wilaya ya Bunda -Mara kuna wafanyakazi wanaoitwa makarani. Sasa ukienda pale ili ujaziwe fomu halafu usainiwe na mh. Hakimu unaombwa hela ati hakimu hawezi kusaini bila hela...
Kutokana na kusoma mada mbalimbali humu jamvini na kujaribu kumuona kama vile Muadham kardinari Policarp Pengo hastahiki kuwa mtanzania.
Kwanza kabisa yeye ni mmoja wa wale wateule wanaoingia...
Habari wadau,nimesimamishwa kazi toka mwaka jana mwezi wa6 kutokana na mwajiri kukosa kazi tukakubaliana ikipatikana kazi nyingine nitarudishwa kazini nimekaa muda wote nikisubiri kazi cha...
Kuna ndugu yangu aliitwa kufanya usaili katika shirika moja binafsi. Aliomba kazi baada ya kuona matangazo gazetini. Baada ya muda alipigiwa simu na kujulishwa amefaulu zoezi la usaili, hivyo...
Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni...
Mtakumbuka mwezi uliopita mnamo 27.01.2014 na kuendelea kulikuwa na mjadala mkali ulioshika hatamu kwenye vyombo vya habari, ambapo waziri wa kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka alitoa tamko la...
Itifaki imezingatiwa, ningependa kujua kukata affidavit ina gharimu shilingi ngapi? maana juzi nilienda mahakamani nikamkuta jamaa akaniambia eti nimpe elfu kumi ya kitanzania. Machale yakanicheza...