Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nawasikia watu wengi wakisema eti tukiharibu hapa tutakuwa tumejiharibia miaka mingine 50 mbele!Ama utasikia Kenya wameanza kujuta kwa kupitisha katiba waliyodhani ni mkombozi na sasa magavani wa...
Wale viongozi wa jumuiya ya UAMSHO leo hii wameachiwa huru kwa masharti ya mahakama. Viongozi hawa wamewaamsha Wazanzibari kwa kudai nchi yao kutoka kwa wakoloni Tanganyika na ndio kama tunavyoona...
Ndugu zangu wanajamii naomba kujuzwa kuhusu hili. Mfanyakazi anakuwa na haki gani ama kama kuna malipo yoyote pale mkataba wake wa kazi inapokatishwa ghafla.
Nimesoma hii kipande nkaona ni vyema tuwekane sawa
kwenye gazeti la mwananchi wanasema mh lema amefungiwa miaka 5 kushiriki uchaguzi wowote
sasa kama hivi nahisi wakati muafaka wa kukimbilia rufaa...
I salute you all!
I 'm writing this thread on behalf of my uncle in regard to his request for legal advice.
The below information I'm going to provide is obtained from him and quoted in full...
msaada wakuu unapokuwa umetenda uhalifu ukakamatwa na kuwekwa lock up kwenye kituo cha polisi, ni mazingira gani yatakayo kuwezesha kupata dhamana ya polisi?
Napenda kujua sheria ya kazi ambayo inaruhusu kwa mwajiri wako kukukata mshahara kama fidia la kosa ulilolifanya kazini, na ni hatua zipi za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa kabla mwajiri hajakata...
Samahani wakuu,
Naombeni ushauri, nataka kununua kiwanja, kwa sh.7,000,000 mshikaji anayeniuzia nimepeleleza ni kweli ni chake na ndio anayetambulika na majirani.Tatizo lipo kwenye mauziano...
Ndugu wanaJF nimesoma katika magazeti ya jana na leo kuhusu amri iliyotolewa na mahakama kwamba gorofa 12 kati ya 18 za jengo lile lililojengwa pale karibu na ikulu zibomolewe! Hii kitu...
Jana Chama chetu cha Wanasheria wa Tanganyika tulifanya uchaguzi wa viongozi wetu. Peter Kibatala alikuwa ni mmoja wa wagombea wa.nafasi ya Umakamu wa Rais - nafasi aliyokuwa akiitetea kwani...
Nilinunua pikipiki then nikampa mtu kwa mkataba wa kuniletea elfu kumi kila siku na matengenezo ni yake, ila baada ya mwaka pikipiki inakuwa yake, lakini mtu huyu anaweza kukaa siku tatu ajaleta...
Tajiri wa lake oil na ulawiti wa mfanyakazi wake
Barua ya mlalamikaji kwa Waziri Mkuu
Mlalamikaji katika barua yake kwa Waziri Mkuu, anaanza kwa kusema, "Mheshimiwa, jina langu lipo hapo juu ni...
Wakuu naomba mnipatie template ya sale agreement in both swahili and english language tafadhali, nataka niuze kibajaji changu in a more sophisticated way to avoid probable inconveniences.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hivi majuzi nilipata nafasi ya kuudhuria kesi ya jiran yangu ambaye ni fundi radio aliyekamatwa na vitu vya wizi katika ofisi yake ya kazi, wiki moja...
Introduction:
An In house Counsel is a Lawyer employed in a corporate to handle specialized tasks such as Tax work, mergers and acquisitions, Labour Laws and Intellectual property, something...
Kuna shamba ambalo kwa sasa ni kiwanja.Mzee/baba alinunua mwaka1985 heka 2.5.Alijenga nyumba ndogo ya mlinzi miaka ya tisini.Miaka ya 2000 mwanzoni akataka kuanza kujenga nyumba Kubwa lakini...
MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 NA VIBOKO 12 BAADA YA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI WA MIAKA 19..!!
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of...
Jana natoka zangu ofisini jioni hii niko kwenye foleni, dereva kibajaji kaja na abiria wake 3 wanaume kawapakia kwa nyuma.
Akanipigia honi na kunionyesha ishara ya kuomba aingie kwa mbele kwani...