Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Sisi binadamu tumepewa uwezo wa kutafakari na kutambua mabaya na mazuri. Kanuni rahisi ya kujua kama jambo ni baya au zuri ni kujiuliza kama ingekuwa linakutokea kwako ungejisikia vipi, au kama...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Habari zenu wadau!naomba kueleweshwa kisheria kuhusu hizi recruitment Agencies! Mwanzo ilikuwa inaitwa SPANCO ambayo imechukua tenda kutoka AIRTEL ya kuajiri watu nakuendesha CALL CENTER baada ya...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
nimekuwa nikisikia kuwa mkiishi kinyumba na mwanaume au mwanamke miezi sita kisheria inatambulika kama mke au mumu..msaada
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Wakuu heshima zenu, Wandugu kuna rafiki yangu mmoja ameachishwa kazi kinyume cha sheria, naomba msaada wenu wa kisheria jinsi anavyoweza kupata haki zake. Huyu bwana alikuwa akifanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa. Naomba mnisaidie namna ya ku-calculate overtime kwa siku za kawaida na public holidays. Kwa ufahamu wangu, overtime ya kila saa ni mara moja na nusu ya mshahara wa kila saa...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habar,,naomba msaada kuhusu kuacha kazi,,utaratibu kisheria ukoje??
0 Reactions
0 Replies
542 Views
wadau naombeni msaada wakisheria,mimi ninafanyakazi serikalini takriban miaka 7 hv,cha kushangaza mwaka jana walininyima mshahara kwa muda wa miezi mitano na kunifuta kabisa kny payroll baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je Waandishi wa Umma (Public writers) wanaruhusiwa kisheria kuidhinisha mikataba? kama wanaruhusiwa, ni sheria gani na chini ya kifungu kipi?
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Chadema ni chama chenye ndoto za kushika dola na kilitegemewa kiwe chama cha kwanza kuheshimu amri za vyombo vya dola ikiwemo mahakama. Sote tuna fahamu zitto kabwe aliweka zuio mahakamani dhidi...
9 Reactions
251 Replies
21K Views
Hello JF! mm ni mwanafunzi wa chuo, nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mwanaume flan but kwa bahati mbaya tuliachana yapata mwezi sasa, nimepata mimba ambayo sikuitarajia na nilipomwambia...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
MaWakili wanatetea wavuvi haramu toka nje ya nchi, Wakili wanatetea wauaji wa albino, wakili wanatetea raia wa nje waua tembo wetu, wakili wanatetea wala rushwa wakubwa za EPA, NDEGE YA RAIS, BOT...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Je,wakili ni mwanasheria? nakama jibu ni ndiyo inakuwaje ana uwezo wa kumtetea mtenda dhambi ilhali anafahamu ukweli?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Traffic marshalls to take over city roads from March Written by CHARLES MUGAMBI, posted on Feb 4, 2014 (10 hours ago) A NAIROBI COUNTY TRAFFIC MARSHALL AT WORK A traffic marshal at work...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanzo mwanzoni,natoa taarifa hii si kama Kiongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika,yaani TLS. Natoa taarifa hii kama Wakili Msomi wa kawaida sana ambaye ningefurahi kuona Mawakili Wasomi...
3 Reactions
124 Replies
10K Views
Habari jf...... Mimi ni fundi wa sofa,sina ofisi permanent huwa nafanya kazi sehemu napopata kazi ila tangu mwezi wa tisa mwaka jana (2013) kuna shemeji yangu alihitaji nimfanyie kazi zake katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukiwa mmeishi na mwanamke kwa muda wa miaka takribani miwili bila ndoa halali ? naombeni msaada nataka kutoa talaka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF. Endapo mtumishi wa umma (mwalimu) amepata barua ya kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine na alikuwa na madai ya mapunjo ya mishahara ya miaka kadhaa. Alishaprocess madai...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Waungwana, Mnamo March, 2013, nilisaini mkataba wa kupangusha nyumba hapa Arusha kwa miezi sita(2,100,000) kwa maandishi. Bahati siku chache kabla ya kuhamia nikapata uhamisho na nikamjulisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana, Nilisaini mkataba wa maandishi kupangisha nyumba hapa Arusha mwezi wa March, 2013; kwa miezi sita (marh - september) 2,100,000 bahati mbaya siku chache kabla ya kuhamia nikahamishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…