Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Dear colleagues, I would like to share with you my recent publication on registration of SIM cards and the protection of the right to privacy in Tanzania. The article analyses the Electronic...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi Ni Binti Wa Miaka 20. Nafanya Kazi Katika Kampuni Moja Ya Ulinzi Mwanza. Katika Eneo Langu La Kazi Kuna Jenereta Lilibiwa Lakini Polisi Waliipata Lile Jenereta Na Ofisi Wakalichukua. Lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ngo
Habari za Jumapili wa JF. Naomba msaada wa muongozo namna gani naweza kuanzisha NGO, vitu kama masharti na ntapataje registration yake! kwa kifupi utaratibu mzima ukoje?
0 Reactions
0 Replies
845 Views
habari wataalamu wa sheria...nikiwa mtumishi wa taasisi ya umma na nimeomba kazi tume ya utumishi wa ajira kwa post ya juu kuliko niliyopo na nikafanikiwa kupata, nimemfuata mwajiri wangu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam wana JF, Leo asubuhi nimekamatwa na askari wa usalama barabarani nikiwa naendesha gari. Vibali vyote ninavyo tatizo ni kioo cha mbele (Wind Screen) ina ufa nikaambiwa hili ni kosa na huna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi niliolewa na mme wangu miaka kumi iliopita tulianza maisha tukiwa jijini mbeya tuliyaanza maisha tukiwa tunafanya biashara ndogo ndogo atimae tukaanza kufanya biashara kubwa na atimae...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu kaishi na mume wake miaka kadhaa bila kumzalia mtoto bado wanaishi wote. Mume wake amezaa watoto wa kike na wa kiume nje ya ndoa yake. Kwa kuwa wao ni mume na mke mali zao zote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau naombeni mnisaidie kuhusu sheria inavyosema kuhusu watoto wa nje ya ndoa aliowazaa mwanaume. Je watoto hao wa nje nao wanayo haki ya kurithi?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Under What Instance Did Ignolance Of Law Be An Excuse In A Climinal Charge
0 Reactions
14 Replies
2K Views
habari zenu wana jamvi,,naombeni msaada wa kujua haya mambo kisheria zaidi,, ninachohitaji kujua ni dhamana mtua anayoambiwa kutoa,,je ile dhamana inarejeshwa/rudishwa kwa mtuhumiwa pindipo...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Mod usitoe ili tujadili. Hivi vitendo vya kutoa pesa nyingi kupitia harambee makanisani, miskitini na vijana wa bodaboda wakati unakimbilia kugombea hii si ni rushwa? Kama ni rushwa mbona TAKUKURU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii Naomba msaada! Je ni lazima memorandum and article of association iandaliwe na mwanasheria na ni vitu gani muhimu vinahitajika kuwepo?:director:
0 Reactions
4 Replies
3K Views
binafsi nimesoma seminari kidato cha 1 hadi sita...na kwasasa nipo katika moja wapo ya vyuo vikuu Tanzania siku zote nimependa kufanya kazi na watu wa usalama wa taifa....kwa yeyote anaeweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mama yangu mzazi alifariki miaka mitatu iliyopita na akawa ameacha fedha nyingi benki.tuko watoto wake watatu,ni jinsi gani tufanye ili tuweze kupata hizo fedha kutoka benki ..bila ya kufuata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu na shemeji yangu kuwa leo 25.1. 2013 amekamatwa na askari wa kituo kidogo cha police Ijumbi wilayani Muleba. Hazari nilizoletewa na ndugu yangu aliye hapo ni kwamba mtuhumiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf naomba kuuliza ni sheria ganii inayombana mtumishi wa umma kama ana tuhuma za kujibu mahakamani,na je vipi kuhusu mshahara wake anapaswa alipwe vipi,na kazini anapaswa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Court fines magistrate Sh20,000 for drunk-driving A motorist takes a breathalyser test during a crackdown on drunk- driving last month in Nairobi. Photo/Jeff Angote...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Chinese ivory smuggler gets record Kenyan fine Tang Yong Jian in a Nairobi court ( Tang Yong Jian is the first person to be sentenced under the new laws Continue reading the main story...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tarehe 31 december asubui derevva wangu aligonga mtu akafari pale pale na hakusimama na kakimbia na kuterekeza gari, polisi wameichukua gari, na kesi ipo mahakamani, sasa me mmiliki wa gari...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Meya wa Manispaa ya Bukoba Dkt Anatory Amani ametembeza kichapo kwa mwandishi wa Gazeti la Mtanzania Audax Mutiganzi akimtuhumu kuandika habari za upotoshaji kuhusu miradi inayotekelezwa katika...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…