Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nilishitakiana na mwajiri CMA nikamshinda na akaamriwa kunilipa kiasi fulani cha pesa. Tuliandikiana mahakamani na yeye akaweka sahihi maamuzi yale. Sasa muda wa malipo umefika mpaka leo ni...
Pamoja na umri huu, lakini bado sifahamu mahakama za hapa bongo ni lugha gani ndo inatumika hata katika utetezi.... je ni English al maarufu kikristo au ni Kiswahili?......... Ni hayo wanasiasa...
Wana-JF,
Naomba ufafanuzi au tafsiri wa kisheria kuhusiana na na hukumu iliyotolewa Mahakama Kuu kuhusu kesi ya uanachama wa Zitto Chadema.
Mahakama imetoa amri ya pingamizi
Kamati kuu ya...
Chet CHANGU CHA FORM FOUR HEAD MASTER WANGU KAKIUZA!
NIMEAMBIWA NIMCHUKULIE #RB , SASA NAOMBA MNIJURISHE MAANA YA RB KABLA SIJAENDA CHUKUA WAZEE! Msaada WENU UTASAIDIA MAISHA YANGU
Nimenukuu kutoka mtandao wa -----------forum: "Taarifa zilizotufikia kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya Chadema zinasema,Jaji Robert Makaramba ndiye aliyeandaa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya...
Maamuzi ya mahakama leo ni fundisho kwa watu wanaoshabikia bila kufikiri, ni fundisho kwa watu kama kina yericko nyerere kwamba ni busara kufikiri na sio kukurupuka tu.
Si nia yangu hata chembe...
Mchezaji wa simba sports club akihisi coacher hatampanga kwenye mechi anaweza kwenda mahakamani kuzuia mechi isichezwe kwasababu ya hisia kuwa hatapangwa na atapata loss kwa washabiki wake, na...
Hoja kuu zilizompeleka Zitto Z.Kabwe mahakamani ni mbili.Kwanza, kuizuia Kamati Kuu ya CHADEMA kumjadili juu ya uanachama wake kufuatia barua aliyopokea ikibeba tuhuma 11 dhidi yake.Pili, kuiomba...
HII nchi inakokwenda sijui ni wapi? PCCB wamelala usingizi mzito. Hawana msaada wowote kusaidia kukomesha katabia ka baadhi ya wafanyakazi wa hizi kampuni za simu zenye kuuza laini za uwakala...
Habari zenu ndugu zangu!
Mimi ni mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ninayesomea Shahada ya Kwanza ya Sheria. Ninafanya utafiti kuhusu CHANGAMOTO ZA KISHERIA ZINAZOWAKABILI MAAFISA UHAMIAJI...
Wakuu Sisi Tunao Soma Tunaombeni Muwe Mnatusaidia Pale Tunapo Kwama Katika Masomo, Sasa Nilijenga Dhana Kichwani Kwangu Kwamba Manslaughter Ni Mauaji Pasipo Kukusudia, Lakini Leo Nikaona Section...
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa...
Naomba ushauri wana jamii,mimi nimeoa mke miezi 7 iliyopita,ndoa ya kiserikali.Mimi na mke wangu tunaishi mikoa tofauti kutokana na mazingira ya kikazi,ndoa nilikwenda kufunga nae ktk mkoa...
Ukiwa geti la kwanza, upande wa mandela roads kwenye kituo cha kuzalisha umeme songas kuna tangazo hili, hivi kisheria imekaaje tangazo kama hilo wakati sehemu hiyo inavyoonesha ni hatari na sio...
Wadau washeria naomba kuelemishwa sheria inavyoapply kwnye vyama vya siasa na mahakama ina sehemu gani juu ya maswala ya vyama vya siasa nikihusisha direct sakata la Zitto kabwe kuweka pingamizi...