Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kamishna Mkuu wa Magereza, John Minja Wafungwa 22 wa gereza ya Maweni mkoani Tanga waliohukumiwa kunyongwa kutokana na kukutwa na hatia ya makosa ya mauaji, wamegoma kula kwa siku nane sasa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa upepelezi wa Makosa ya jinai (DCI Robert Manumba) astaafu ...!! Jeshi la Polisi nchini linapenda kuutaarifu umma kwamba aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba msaada kwa mwenye document yenye historical development of labour law in tanzania
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kati ya intellectual property law na human rights law ipi iko vizuri katika ajira,kujiajiri na mambo mengine
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, tanzania kama nchi nyingine inakumbana na tatizo la medical malpractice, je wananchi wana uelewa kiasi gani? Tuna historia ya operation ya kichwa badala ya mguu, kwenye circumcision wengine...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Heshima kwenu wakuu! Nina ndugu yangu ambaye amepewa zabuni na halmashauri ya kutoza ushuru, utekelezaji wake ukawa mgumu kwa kuwa haijapitishwa na waziri mkuu. Je mkataba alioingia na halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Maoni ya katuni Taifa hili limekuwa likijitumbukiza katika mkanganyiko usiolazima kila wakati hata katika vitu ambavyo kimsingi viko wazi, hali ambayo ama...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kuna taarifa kuwa hali ya amani na utulivu katika baadhi ya maeneo ya vijiji vya Mvomero ni mbaya. Watu wanashambuliana, wanaumizana na kuuana kinyama. Mifugo pia inauawa. Nyumba zinachomwa moto...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Habari wana JF, Miaka 2 iliyopita nilinunua eneo la heka 3 maeneo ya pwani.Kuna mtu ametokea na kudai hilo shamba ni lakwake na amenunua miaka 6 iliyopita na hati zote anazo na mie hati zote...
0 Reactions
5 Replies
874 Views
habari za huku wakubwa....kuna kitu ningependa kujua maana nimekuwa nikisikia lakini sijui sheria zake zikoje...KWENYE CASE KAMA HII.ENDAPO bwana x kaukumiwa kwa kesi ya kumuuwa bwana y aka...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
what are relationships between PARENT ACT AND SUBSIDIARY LEGISLATION?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Raia watatu wa China wakifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam jana. Wachina watatu wanaokabiliwa na shtaka la kukutwa na meno ya tembo vipande 706 yenye thamani ya Sh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Boss wako akikutuhumu kwamba umetoa siri za aidha kampuni au vinginevyo wakati si kweli je ni wapi unaweza kumshitaki atoe ushahidi kwa tuhuma hizo? Kuna rafiki yangu amesingiziwa na Boss...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
What are the process of making delegated legislation?
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Nimeangalia kipindi cha Pambanua cha Channel Ten ambapo David Ramadhan alikiongoza akiwa amewakaribisha Dkt Sengodo Mvungi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Alex Mgongolwa wa...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
I am doing my Bachelor of Law Research and my Title is "ACCESSIBILITY OF HEALTH SERVICES IN TANZANIA: ENFORCEABILITY OF FREE AND QUALITY MATERNAL HEALTH CAR. A CASE OF MVOMERO DISTRICT MOROGORO...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Natafuta law firm ya kufanya inernship nipo arusha mjin
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Wanasheria naomba kuuliza. Katika kila lita ya petroli au diesel tunayonunua, kuna hela inayokatwa na kwenda TANROADS kwa ajili ya matengenezo ya barabara. Sasa je, ikiwa hiyo hela haitumiki...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Nimeajiliwa machi 2013 kama mwalimu (Education Oficer 2) katika halmashauri ya kahama,baada ya kujaza fomu za mkataba na taarifa zangu kwenda utumishi,niliambiwa jina langu lipo kwenye database na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamini kwakweli kuulizasio ujinga kwamaa mpkasasa mii sielewi sheria ya aridhi hapa nchini inasemaje?ina manufa kwa MTZ?
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…