Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Haina wachangiaji nimeifuta
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Ibara ya 39 (3) 'Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanya mahojiano yoyote kinyume na ridhaa yake'. Je Ibara hii haikinzani na sheria za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wote,ni mara ya kwana kuingia jukwaa hili naomba kujuzwa sheria makazini.je sheria inaruhusu mke na mume kukaa ofisi moja,mfano wote mabanker,madoctor nk...na pia je sheria inakataza mke...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wanajamvi polen na kazi.mi nilikuwa naomba msaada ,sina cheti cha kuzaliwa na kinahitajika na bodi ya mikopo ya vyuo vikuu haraka,sasa nimeambiwa kuwa naweza chukua affidavit ya muda.mi ni mgeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau wa sheria nina swali nataka msaada wa kisheria. Kuna mtu kanitoroshea binti wangu wa kazi na kwa bahati nzuri katika pitapita za vijana wangu hapa mjini wakafanikiwa kukutana naye. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba jibu wanajamvi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nini maana ya uchochezi?? sheria ya uchochezi ipo?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Hivi rasimu ya katiba imesema chochote kuhusu Mahakama ya Kadhi wakuu? Mimi siku zote nilikuwa nafikiri Waislam wanataka kuwe na mahakama ya Kadhi, sasa nimeshangaa kuona tangazo kwenye gazeti la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP),Dr.Eliezer Mbuki Feleshi amewasilisha Taarifa ya Kusudio la kukata Rufaa dhidi ya Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake 49. Taarifa ya Kusudio la Kukata Rufaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wadau! Nimekutana na changamoto katika laini yangu ya Mpesa!. awali niliitumia laini hiyo kufanya kazi nikiwa Mwanza, baadaye nikaamua kuihamishia zanzibar. niliacha kufanya kazi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mnisaidie katika hili kama email ni legal communication, kuna mtu aliniambia ilitoka circular kwamba yatumike kisheria lakn juzi mtu mmoja akaniambia serikalini bado ni haramu (illegal)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, naomba mnipe msaada wa hatua za kuchukua kwa mtu aliyekiuka makubaliano ya kibiashara. Mtu huyu ni rafiki yangu niliyefahamiana naye siku nyingi, alinihusisha kwenye biashara...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Ndugu wanjamvi, naomba msaada wa kisheria juu ya mashtaka aliyofunguliwa rafiki yangu na ofisi ya TSD, MASHTAKA ni haya; 1;kuvunja kanuni za utumishi wa umma kwa kusema serikali imeoza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Move industry inakua haraka sana Tanzania na kati ya waajiriwa ni watoto(umri chini ya miaka 18).Sheria ya ajira kwa watoto under these circumstances inasemaje?is it legal?na inelezea mipaka ya...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Wakuu ni vipi naweza kukokotoa na kujua kiasi cha transport na subsistence allowance ninazotakiwa kupata wakati wa kuajiriwa (first appointment) na taasisi ya serikali?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Assalaam aleykum ! Chuo cha kiislamu cha Al - jazeera cha jijini Mwanza kimelifikisha mahakamani gazeti la Mtanzania kikidai fidia ya shilingi Bilioni mbili kufuatia kuripoti habari...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwa sasa tuna online-banking, ATMs, mobile banking, electronic billing systems n.k.. Ni Muongozo upi/Sheria ipi inaratibu mambo haya hasa inapotokea kuna mushkeli???? Wapi Waziri wa katiba na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetunga sheria ya kupiga marufuku ndoa za watu wa jinsia moja.Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Bwana Abubakar Khamis Bakar, aliyasema hayo kwenye Kikao...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Madereva wa treni wa treni wanatumia vibaya kinga ya kutogonga kwa kuwagonga magari, pikipiki, baskeli na waenda kwa miguu kwa kuwa wana kinga na hivyo kusababisha kupoteza nguvu kazi ya Taifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…