Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Female lawyers are forbidden from wearing revealing clothing including sleeveless shirts or dresses according to a new dress code for advocates of the High Court released today by the Law Society...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Jaman nahtaj kwenda kusoma diploma ya sheria kule Tanga lakini sina uwezo wa ku-pay school fs na hata ndugu zng hawako na uwezo huo.mbali zaidi mimi ni yatima. Je naweza kupata mtu wa kunifadhili...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Nimeshitushwa na habari hii kutoka katika gazeti la mwananchi la leo. WATU 12 raia wa Ethiopia wamehukumiwa na mahakama ya Wilaya ya Singida, kulipa faini ya Sh100,000 kila mmoja baada ya kukiri...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa habarini za Leo? Boss wangu ananisumbua kweli kweli yaani sina amani ya kazi hata kidogo, ni mwanamke na anatoka nchi jirani, nimejaribu kucheki ni wapi nimekosea but sioni. Anafikia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu wana jf. Naamini sote tumesikia tukio lilotokea india la kumbaka mwanamke na mpaka kumchafua chafua na kumueka katika hali mbaya. Hebu jambo hili tulitizame kama lingetutokea sisi wenyewe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
No miniskirts for lawyers By Harold Hayodo Nairobi, Kenya: The Law Society of Kenya (LSK) has released a dress code for practicing Advocates of the High Court. LSK Secretary Apollo Mboya and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The WITS Student Law Journal of Southern Africa is an upstart journal housed within the University of the Witwatersrand and run completely by an editorial team of law students. The aim of our...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
hivi ni jambo la busara mwekezaji kutoka nje kuwa na sauti ndani ya nchi yetu na kushiriki katika kuwakandamiza wananchi (wazawa). je serikali iko wapi juu ya suala hili na je kati ya mwananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Basata mpo wapi?nyimbo za lugha chafu na matusi zinapigwa live redioni Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Wana jamvi naomba kuuliza sheria ya kazi inasemaje juu ya kulipwa likizo yaani ela ya nauli.. Mwenye kujua tafadhari. Je ni lazima kwa tanzania au imeweka mwajiri achague?
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Katika Hali inayoonyesha kuzidi kukomaa kwa rushwa Tanzania na hasa ndani ya jeshi la polisi askari wa usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma wanaonyesha waziwazi kusuka mipango ya kula hela za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni hivi, Nimefanya biashara na Mr. A pasipokuwa kujua kwamba Mr. A anadaiwa na Mr. B ambako ndiko biashara tuliyofanya inakopitia. Baada ya Mr. A kunizungusha sana kuhusu amana yangu nikaona...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Ndg wana JF, mpendwa wangu anaumwa kansa ya damu na amelazwa bugando, ambayo imesabishwa na kufanya kazi katika mgodi wa north Mara, kama kibarua akiwa anajitafutia riziki, naomba nisaidiwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa namna ya kufuata ili kunyanganywa ardi na serikali ya kijiji maana wameninyanganya shamba langu na hivyo nataka kujua iwapo taratibu stahiki zimefuatwa maana siku wepo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tv sibuka imekuwa kwa muda mrefu sasa ikiwa inaonyesha movies mida ya usiku hasa saa tano tano aina ya movies zinazoonyeshwa ni za holywood mara nyingi fine... Ila tatizo nililoliona na kushtuka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna kesi imetokea mtaani kwetu kuna bint wanadai kabakwa na jamaa flan na kuambumkizwa vvu. sasa je ushahidi gn unahtajika ili jamaa mbakaji aweze kufungwa
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu mchakato wa kutoa maoni uanze, baadhi ya watanzania kwa kupitia Radio fulani pia makongamano mbalimbali ya katiba wanapenda sasa nchi iwe na siku tatu za kupumzika hili pia waislam nao...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Wana jf hasa wale wajuzi wa sheria ,naombeni kujua kama sheria inatoa muda wa mwisho hukumu iwe imetolewa baada ya kusikilizwa kesi,naulizia ngazi ya mahakama kuu.au jaji anaweza kuitoa wakati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja ya sheria za usalama wa barabarani inasema: "Usiendeshe gari huku umelewa." Leo, nikiwa ndani ya daladala narejea nyumbani kutoka katika mihangaiko ya maisha nimepita karibu na baa kubwa hapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii kitu inaitwa kubambua. Ipo sana huku Kilimanjaro, sijui mikoa mingine kama ipo. Ni hivi: Kwa mfano kamati ya shule ya msingi imeamua kila mtoto alete shuleni mahindi debe moja na maharage sado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…