Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
waheshimiwa salaam. kuna kila dalili ya serikali, kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuvunja kwa makusudi vifungu vya katiba, sheria za nchi na sheria za haki za binadamu za...
Habari wana JF?
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Kwa ufupi ni kwamba, naombeni msaada wa kisheria juu ya jinsi ya kupata hati ya eneo la zaidi ya hekari 18 ninalolimiliki kiasilia...
Kama ni kweli hakuna mtu aliye juu ya sheria inakuwaje Rais akawa na kizuizi cha kushtakiwa anapokuwa Madarakani.....? maana wizi ni kosa la jina ambapo aliyesaidia kitendo cha wizi au kumlinda na...
Habari zenu waheshimiwa wanasheria , kiukweli mm nimepata hii barua na nimeambia wakufika mahkamani kwa kushindwa kulipa pesa ya taka, hii imekuja baada ya habari ifuatayo
mm nina kijifremu...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman
Maadili na uaminifu ndiyo hutupa uhalali kwa wananchi.Majaji na mahakimu wanapaswa kuzingatia uadilifu, katika kusikiliza kesi na kuandika hukumu...
Upembuzi huu unaukubali uamuzi wa kumrudisha Mhe. Lema jumbani kuwa ni sahihi lakini unapinga baadhi ya sababu ambazo majaji walizitumia kufikisha hatma hiyo:-
Sababu mbili ambazo ninazikubali za...
Naomba kuuliza nifanye nini ili ningie kwenye siasa wakati nikiwa bado mtumishi wa umma coz kadri ya siku zinavyoenda naona ndoto ya kuwa mwanasiasa inaniingia akilini but nataka nianze taratibu...
,Katka hali ya kushangaza tume ya katiba imekataa waandishi wa habari kuhudhuria mkutano wake na vyama vya siasa. Katika mtizamo wa kitaifa vyama vya siasa ndivyoambavyo vinaunda serikali ya...
Ni tukio lililotokea leo mjini Mugumu wilayani Serengeti na kuthibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Mara Absalom Mwakyoma.Askari hao ni Koplo David Delina mwenye namba E9172 kutoka ofisi ya...
Azan Bank wametoa tangazo hili kwenye Magazeti kuhusu waliokuwa watumishi wa Benki hiyo ambao wameshindwa kulipa mikopo:
Mwananchi la tarehe 1.01.2013
The above are ex-staff of Azania Bank...
Desemba 4, mwaka jana, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, aliagiza kwamba mtu yeyote au kikundi kinachomiliki silaha kinyume cha sheria wazisalimishe kwa hiyari ndani ya siku 30.
Dk...
Paul Severin, akiwa nje ya duka lake, kijijini Ovada, Tarafa ya Kwamtoro, Kondoa.
PENGINE siku ile ya Novemba 4, mwaka 1998 ilikuwa ni siku ya balaa na isiyoweza kusahaulika, katika maisha ya Paul...
Swaziland, a small country in southern Africa, landlocked in between Mozambique and South Africa, has a solution to the prevalence of sexual assault in the country. The South African Independent...
wana jf kwanza polen kwa msiba uliotufika wa ndugu yetu sajuki.
Kwa heshima na taadhma naomba mtu yeyote aliye na andiko/dodoso lenye sheria za barabaran anisaidie kwani nahitaji kuzisoma ili...
MAONI YA KATIBA MPYA
Tanzania ifuate muundo wa Katiba iliyoandikwa ya Ki-sekula na inayofuata mfumo wademokrasia. (A secular written and democratic constitution).
Katika muundo wa...
naomba kwa yeyote mwenye setup file ya hiyo kitu JUTA(LAW REPORTS na PRINCIPAL LEGISLATIONS) anisaidie niweze kuipata,kama ni too large bulkness kuingia kwenye e-mail hata akinipa link ya wapi...
Habari zenu G-thinkers? naombeni mtu yeyote aliye na documents iliyobeba sheria za barabaran za nchini Tanzania anisaidie jamani, i real need it. waweza kuni PM au kuiweka hapa moja kwa moja...
Habari zenu wanasheria wote? Pia poleni kwa majukumu ya kila siku.
Naomba kujua kama ni kosa kisheria kwa mtu kutumia sehemu ya mlio wa wimbo wa Taifa la Tanzania kwenye simu ya mkononi.
Naomba...