Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Women/Law: "Police in mini-skirt arrest threat in Swaziland"
Women in Swaziland risk arrest if they wear mini-skirts or tops which expose part of their stomach, police spokeswoman has said...
Wadau na wanasheria tunaomba ufafanuzi iwapo wabunge hawa wa chadema wamefanya kosa kisheria kupiga picha na yule askari kwenye mkutano wa kisiasa.
Hivi kama yule mwanajeshi alifanya vile kwa...
Nilikuwa nasafiri kwa gari binafsi kama dereva kutoka Chalinze kwenda Tanga,Nilipofika check point ya KABUKU nikazuiliwa na maaskari nikituhumiwa kulipita gari la mbele yangu(overtaking) sehemu...
Wakuu, hapa chini nimejaribu kuwadondoshea na kuwafunghashia kwa rejea yenu baadhi ya hukumu za hivi karibuni zilizotolewa na Mhe. Jaji Rwakibalira na kutenguliwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania...
Nimeona nijitokeze hadharani kuelezea idadi ya kadi za vyama vya siasa ninazomiliki ili kama kuna sheria inayokataza mtu kuwa na kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa nisifungwe bure.
1. Kadi ya...
Mimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea...
While some torts are also crimes punishable with imprisonment,the primary aim of tort law is to provide relief for the damages incurred and deter others from committing the same harms,citing with...
hivi wadau kwanini kesi nyingi zinazoamuliwa na mahakama kuu huwa na dosari nyingi na zinapopelekwa mahakama ya rufaa zinabatilishwa? je kuna udhaifu wa majaji katika mahakama kuu? je ni hatua...
Heshima wakuu,
Hapa najiuliza ufanisi wa jaji Gabriel Rwakibarila aliye hukumu kesi ya Lema uko wapi katka mhakama anayofanyia kazi? nani atakaye amini maamuzi yake? huyu ni wa mahakam kuu...
Nia ya kuanzisha chombo hiki ni kurudisha matumaini kwenye chombo hiki muhimu cha DOLA cha utoaji wa HAKI. Tumeshuhudia hukumu nyingi za hovyo, zenye utata mwingi, zenye kuacha maswali mengi huku...
Uandaliwe utaratibu maalumu wa kumwajibisha Judge aliyetoa hukumu katika kesi ya Mbunge Godbless Lema mahakama kuu ya Arusha.Wajibisho hilo laweza kuwa la kitaaluma,kisheria,kinidhamu au kimaadili...
Kwa kawaida huwa kuna makosa madogo ya liufundi ambaye anapelekea hakim au Jaji kuhukumu vinginevyo shauri lililo mbele yake. Lakini kwa hukumu hii ya Godbless Lema nalazimika kumuuliza huyu...
Mama Anna Tibaijuka, Mama wa makazi !!!
hebu fuatilia kwa undani kwelikweli uone watu wa ardhi wanavyokula rushwa.
je walitenda haki katika hili kweli ? ikiangaliwa kiundani kuna giza nene...
TUJIFUNZE YAFUATAYO:
Kumbe ni kweli watu wengi wanaonewa
Je inapotokea majaji wametumia vibaya taaaluma zao, je nini kifanyike? Wana-Arusha mjini wamekosa mwakilishi kwa kipindi kirefu...
The trial of the libel action of Regnald Mengi v Hermitage commenced in the UK this week. Reginald Mengi, a Tanzanian businessman and philanthropist, is suing Sarah Hermitage, a non-practicing...
Tangu jana nilielezea kwamba nimepata taarifa kuvuja kwa hukumu ya mh Lema. Mods aliunganisha link yangu na nyingine zilizokuwa zinashabihana na hilo. Kitaaluma mimi ni mwanasheria na hakika kila...