Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau,
Wiki iliyopita nilikwenda pale TRA Mwenge kulipia road licence. Nilipokewa vizuri na mabinti pale reception na baada ya kuwaeleza shida yangu, walinisaidia kujaza form zinazotakiwa na...
Sou a: UdG European Master in Tourism Management Presentation
Presentation
Introduction
Structure
Program
First Semester
Second Semester
Third Semester
Fourth...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba ambaye anaufahamu na swali hilo (thread inajieleza) anisaidie. Kwa wale waliosoma INVESTMENT LAW watakuwa na ufahamu zaidi.
Atakayenijibu kwa ufasaha nitam-tip vocha...
habari..... Je kama unataka kufanya joint na mtu katika biashara fulani tuseme ya duka. Unatakiwa ufate taratibu zipi?? Kuna mikataba sehemu fulani fulani??? Naomba nielekezwe tafadhali.asante
Kwa wenye taarifa zaidi naomba watujuze kuhusiana na kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania. Wadau mliopo Kisutu mna loloteeeeeee?
This is part of the observation by some learned members of TLS on the border Dispute between Tanzania and Malawi as posted via members' emails . Observations and comments are invited
.-------...
wana jamii habari za leo?
kuna ndugu mmoja alioa miaka 7 iliyopita kwa ndoa ya kanisaniakaishi na mkewe kwa kipindi cha miaka minne.baada ya hapo kukaanza matatizo katika ndoa hiyo ambayo...
Mnamo mwaka 2008nilianza kazi Bagamoyo-Matipwili,nikafanya kazi hadi 2011,nikaomba ruhusa kwenda kusoma,,DEO Alipojua nilzamu yangu kwenda kusoma akanihamisha na mi chuo nilipata,,,,...:na...
Habari ndio hiyo, Kigamboni haina serikali. Watu wanaendesha maisha wanavyotaka wao. Ikifika saa mbili usiku nauli za daladala zinapandishwa kwa kiwango wapendacho madereva kuanzia TZS 500 hadi...
Habari nilizozipata hivi punde ni kuwa kituo cha matangazo cha televisheni cha ATN kimevamiwa na watu wasiofahamika.
Watu hao wamefanikiwa kuvunja mali zote ikiwemo na kung'oa vifaa vyote vya...
Mimi kama mzalendo na mzawa wa Tanzania naishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kusitisha na kufuta kabisa liseni za Uwindaji na uuzwaji wa Wanyama hai Tanzania. Nchi inatia aibu. Meno ya Tembo...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
THE PREVENTION OF TERRORISM ACT, 2002
ARRANGEMENT OF SECTIONS
Section Title
PART I
PRELIMINARY PROVISIONS
1. Short title.
2. Application.
3. Interpretation
PART II...
Naomba tujadili sakata hili kati ya Yanga na Vodacom bila kuingiza unazi wowote, je ni halali kwa Yanga kukataa kuvaa jezi yenye logo ya mdhamini (Vodacom) ambayo ina rangi nyeupe na nyekundu kwa...
Siku moja nilisafiri kutoka mkoani kuja Dar es Salaam kwa basi, siti niliyokaa kulikuwa na mama mmoja tulikaa siti moja, njia tulikuwa tunapiga stori kwa furaha. Lakini tulipokaribia Mbezi ya...
Mwaka 2009 nilinunua gari yangu aina ya Toyota kupitia rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara wa kuagiza magari yaliyotumika toka japani.
Huyu rafiki yangu pia ni mwanasheria, tuliandikishana...
Hakuna Mahakama hata moja nchini Tanzania itakayotamka kuwa kifungu cha 160 cha Sheria ya Ndoa,1971 kinaonesha uwepo wa ndoa badala ya Dhanio la Ndoa. Hata Jaji Laurence Kaduri anajua vyema. Ni...
Nimemaliza chuo 2009, Bachelor. Nilipata 60%. Hadi sasa sijajitokeza kwenye malipo/makato. Nitegemee nini? Muda wa kuanza kulipa (grace period) tokea kumaliza chuo ni miaka ngapi?